Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

amani,utulivu uhuruna wa kujieleza ulionaosasa mpaka umepata nafasi ya kukaahapo ulipo unaandika kwa utulivu na amani ni kwa sababu ya serikali ya ccm.

MaCCM Bwn muuize Mwangosi Rip muulize Azory Rip muulize Ben saa Nane kama yupo muulize Tundu Lisu etc.
Watu wana woga sio amani wanaona kinacho endelea wamenyamaza!!
Weka tume huru ya uchaguzi, Ma DED wasisimamie uchaguzi uone majibu yao.
Fanya kama kujaribu muone moto wao, salama ya CCM ni Polisi na watendaji si unaelewa??
 

Profesa anasema,

Flosofia inajumisha kuelimika, kutumbua thamani , fikra, akili na lugha unayozungumza.

falsafa anamaanisha kwamba njia za filosofia ambazo mtu anapaswa kuzitumia katika kuhoji, kuanzisha mjadala wa kina, uwezo wa kuuliza masuali ambayo wewe mwenyewe muulizaji unaweza kuyajibu kwa utetezi wa vielelezo na uwezo wa kuwa na mfumo maalum wa kuwasilisha hoja au mada.

Sasa CCM waliweza kuwa na filosofia na falsafa kutokana na siasa za Hayati Mwalimu Nyerere na ni utashi tu wa wanasiasa walopikwa Kivukoni ndo wamejaribu kutofuata kwa makusudi aina hizi mbili za mwelekeo wa kisiasa.

Lakini tangu CHADEMA waanze siasa ulipoanzishwa mfumo wa siasa za vyama mwaka 92, bado hawajakuwa na uwezo wa niliyoyaeleza hapo juu.

Na hii ni kwa vyama vingine vyote vya siasa ambayo kwa sasa vinaisaidia CCM kujiimarisha zaidi na wao kuporomoka badala ya kuwa wapinzani wa kweli kutokana na kukosa misingi ya filosofia na falsafa.

Ni prpfesa wa siasa hivyo tukubali uchambuzi wake au tuupinge kwa hoja.

Ila kabla hujajibu hoja hizo, watakiwa kujipanga kwanza.
 
Hio taka taka haina data. Hayupo well informed.
Kama. Kweli meko anajiamini mwambieni aruhusu tume huru.mataga wote lazima presha ziwapande
 
Zaidi ya kuongea kiingereza kigumu/cha kishenzi shenzi hakuna kitu anajua huyo Lumumba a.k.a Prof Majalala.
 
Lini CCM ilikuwa chama Cha siasa?
 
Lini CCM ilikuwa chama Cha siasa?
Huyu jamaa nilianza kumpuuza alipoanza kimsifia jiwe, nikajua hafanyi research yake vizuri, sasa kwa level ya professor inatia shaka sana, vinginevyo atakuwa na ajenda binafsi.
 
Lini CCM ilikuwa chama Cha siasa?
Huyu jamaa nilianza kumpuuza alipoanza kimsifia jiwe, nikajua hafanyi research yake vizuri, sasa kwa level ya professor inatia shaka sana, vinginevyo atakuwa na ajenda binafsi.
 
CCM sio chama cha siasa tena bali kundi la ugaidi tuu.
Chama cha siasa kinachofikia kumlisha sumu makamu mwenyekiti wa Taifa ili afe! Na ukiona Mambosasa ameshindwa kutimiza kauli yake kuwa aliyehusika atatafutwa baharini au nchi kavu basi ujue wahusika/mhusika ni watu wenye nafasi juu sana kuguswa.
Jee nani huyo/hao? Kama wenyewe kwa wenyewe wanauana watashindwa kuwaua wengine? Sasa hivi wanajifanya wameshasahau jambo hilo na mzee Mangula kafichwa
 
Huyu profesa Ni sawa na Lipumba.Yaani Chadema ambayo imejizolea wanachama na ina falsafa yake,chama kunachopambana na vyama vingine ikiwemo CCM yenye kutumia dola na kila taasisi ya umma na ikabaki imara yeye anasema ni chama kichanga. Hapo kwao ni chama gani aweza kifananisha na Chadema? Kuhama vyama Ni jambo la kawaida sema kuhama na kukashfu uliowaacha ndo jambo la hovyo,Trump mwenyewe kahama vyama hata Leon Trotsky alihama chama.
 
Huyo Prof huwa ananufaika sana na makongamano anayoitwa huku bongo ndiyo maana anajitahidi kusifia utawala ili asikatiwe Mirija.
 
He who pays the piper calls the tunes. Profesa akivuka Namanga anavua joho la elimu, anakuwa mpiga zumari wa chama.
 
Sio unaongea kinyume? Maana sumu ya CCM ni tume huru, CCM hawana watu ila mamlaka I.e vyombo vya dola plus tume mbovu ya uchaguzi, While CHADEMA wana akidi ya kutosha ya watu
 
Et NCCR ndo mnadanganywa na slowslow mnampiga posho za bure tu
 
Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/

Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
Lumumba is highly paid with this crooked ruling party to pave their way, waitishe tume huru, sisi majaji tupewe uhuru, ucgaguzi usimamiwe na wengine, hata serikali ya Somalia waone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…