25 Nov 2018
African Intellectuals : Prof. Rwekaza Mukandala - Hali ya Uchumi na Siasa Nchini Tanzania Miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano: "Tunatoka wapi, Tuko wapi na Tunakwenda wapi"
CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Niko upande wa prof ....jamaa Akili kubwa ....ukiachana na ahadi hewa za kujenga viwonder na mil 50 kila kijiji.
Niko upande wa prof ....jamaa Akili kubwa ....ukiachana na ahadi hewa za kujenga viwonder na mil 50 kila kijiji.
Ushindi ni ushindi tu bwashee!Wacha kurohoja, labda kama mtaendeleza ujambazi kwenye madebe
In God we Trust
YESNiko upande wa prof ....jamaa Akili kubwa ....ukiachana na ahadi hewa za kujenga viwonder na mil 50 kila kijiji.
CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Bwashee ushindi ni ushindi haijalishi ni wa matuta au dakika 90!Itashinda kwa kishindo au itatangazwa kushinda kwa kishindo? Unashinda iwapo unashindana, sasa kama hushindani bali unaagiza utangazwe mshindi inakuwaje hapo?
Bwashee ushindi ni ushindi haijalishi ni wa matuta au dakika 90!
Endelea kuota mkuuNiko upande wa prof ....jamaa Akili kubwa ....ukiachana na ahadi hewa za kujenga viwonder na mil 50 kila kijiji.