Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kutumia vyombo vya dora na tume ya uchaguzi au sio, CCM haijawahi kuchaguliwa na wananchi zaidi ya kujichaguaCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Aisee! Hizi ndio akili kubwa za JF siku hizi! Inaonekana wewe hata ukikwama kiuchumi utakuwa tayari kugongwa kwa kigezo cha "kazi Ni kazi , bora mkono uende kinywani"Bwashee ushindi ni ushindi haijalishi ni wa matuta au dakika 90!
vip ngosha unasemaje katika hiliCCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
acheni visingizio.chadema aina kura za kuchukua nchi.Wacha kurohoja, labda kama mtaendeleza ujambazi kwenye madebe
In God we Trust
Jenerali Ulimwengu: Kinachoendelea serikalini ni "Andrew The Lawgiver", Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia
Jenerali Ulimwengu akiwa kwenye kongamano la kigoda cha mwalimu Nyerere chuo kikuu cha Dar es Salaam, amesema pamoja na hatua nzuri anazochukua Rais wa sasa, Mheshimiwa John Magufuli ambazo zimepongezwa lakini ukiangalia picha kubwa ni kwamba tumerudi nyuma kama miaka 50 kwenye demokrasia...
tume ii ya uchaguzi ndo imewatangaza wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walipo shinda uchaguzi 2015.Itashinda kwa kishindo au itatangazwa kushinda kwa kishindo? Unashinda iwapo unashindana, sasa kama hushindani bali unaagiza utangazwe mshindi inakuwaje hapo?
Case study chaguzi za marudio na za serikali ya mitaa jibu unalotume ii ya uchaguzi ndo imewatangaza wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walipo shinda uchaguzi 2015.
ni tume huru na wala aingiliwi wala aipangiwi.anaeshinda anatangazwa.
kwaiyo acheni kujihami kwa uongo na uzushi
Sent using Jamii Forums mobile app
tume ii ya uchaguzi ndo imewatangaza wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walipo shinda uchaguzi 2015.
ni tume huru na wala aingiliwi wala aipangiwi.anaeshinda anatangazwa.
kwaiyo acheni kujihami kwa uongo na uzushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali za mitaa amkujiandaa kushiriki ndio maana mmeshindwa kuwapa hata semina wagombea wenu namna ya kujaza form ikapelekea kuwekewa pingamizi kwa wagombea wote wasiokidhi vigezoCase study chaguzi za marudio na za serikali ya mitaa jibu unalo
mwaka huu ni mwaka utakao kuwa na uchaguzi huru na wa haki kuliko miaka yote, kwanza mifumo ya ki elecrronics itaboreshwa zaidi ili kuweka uhuru na uwazi wa kura.Hatukosei tunachosema, hiyo tume hata hiyo 2015 haikuwa huru, bali wakati huo wangalau kulikuwa na soni, chini ya awamu hii tume hiyo kutokuwa huru imekuwa wazi zaidi. Yote yaliyofanywa na hiyo tume baada ya Magufuli kuingia madarakani tumeyaona na tunayajua vizuri.
NB: halafu una matatizo ya herufi H, sio aingiliwi bali ni haiingiliwi, sio aipangiwi,bali ni haipangiwi.
mwaka huu ni mwaka utakao kuwa na uchaguzi huru na wa haki kuliko miaka yote, kwanza mifumo ya ki elecrronics itaboreshwa zaidi ili kuweka uhuru na uwazi wa kura.
pili waangalizi wa kimataifa watasogezwa kwenye kiini cha mahesabu ya kura ili kuwapa uhakika na kinachoendelea kwenye majumuisho ya kura.
kwenye ku type key za simu uwa ni kawaida kukosea kwa sababu mara nyingine mtu unaandika kwa speed sana...
VIP watendaji waliozikimbia ofisi zao hapo vipiserikali za mitaa amkujiandaa kushiriki ndo maana mmeshindwa kuwapa hata semina wagombea wenu namna ya kujaza form ikapelekea kuwekewa pingamizi kwa wagombea wote wasiokidhi vigezo
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni visingizio kilichopo sasa ni chadema kupoteza mvuto kwa watanzania. sasa mnatafuta sababu ili msishiriki uchaguzi mfiche madhaifu yenu.Ni hivi hakuna uchaguzi huru chini ya awamu hii na hatuna imani na tume iliyopo. Kwa taarifa yako bila tume huru ya uchaguzi wapiga kura tunaojitambua hatutashiriki huo upuuzi. Hao waangalizi wa kimataifa labda kutoka ulaya ndio husema kweli na sio hawa toka Afrika.
Suala la makosa yako kwenye kuandika sio typing error, bali ni matatizo ya herufi kwenye neno husika. Ukitaka kujua ww ni kilaza umenirekebisha kwenye nini hapo chini, na mimi nimeandika nini?
Acha kufanya propaganda na uzushi kuwa ndio point ya kisingizioVIP watendaji waliozikimbia ofisi zao hapo vipi