Kwa wanaomjua nje ndani Mukandala hawawezi kumwamini hata siku moja. Mi namjua japo sio sana.Mukandala,this nigga I cant trust!
Smart dude,but totally evil mind!
He can eat his own shit!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wanaomjua nje ndani Mukandala hawawezi kumwamini hata siku moja. Mi namjua japo sio sana.Mukandala,this nigga I cant trust!
Smart dude,but totally evil mind!
He can eat his own shit!
Naona kama zinarudi rudi au kwa kuwa kakosa Uteuzi?? Unahua mkandala ni Mkono wa JK ndio maana.Mukandara ameanza kujitambua siyo?
kama umelewa inatosha sana.hata wewe kuna comment zako nyingi zina makosa ya herufi, error
Jibu hoja au we mgeni nchini nini
Nilitaka kukumbushia hilo, naona nawe ulikuwa ukiliwaza.Hizi ni fikra huru,Kama yupo kwenye utumishi huyu asahau kuhusu teuzi.
Swali Je unafuraha ya utashi wako mwenyewe???CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Niko upande wa prof ....jamaa Akili kubwa ....ukiachana na ahadi hewa za kujenga viwonder na mil 50 kila kijiji.
acheni visingizio kilichopo sasa ni chadema kupoteza mvuto kwa watanzania.
sasa mnatafuta sababu ili msishiriki uchaguzi mfiche madhaifu yenu.
kwenye andiko lako embu pitia uone makosa yako ya herufi ndo ujijue kama wewe ni utopolo.
umeandika hivi:hatukosei tunachosema,hiyo tume hata hiyo 2015 haikuwa huru,bali wakati huo( wangalau) kulikuwa na soni.
sio wangalau ni angalau.
rejea kusoma utaona makosa yako ya herufi wewe kiazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika uwasilishaji wake, Prof. Alimlinganisha baba wa Taifa Mwl nyerere Rais wa kwanza wa Tz ndani ya miaka 23 ya uongozi wake na uongozi wa kipindi cha miaka mitatu(3) ya Rais wa Sasa Mh Magufuri.
Falsafa zao ,maono Yao,hisia zao na utashi wao katika kuwaongoza Watz( makabwela,wakulima na wafanyakazi,wanyonge walalahoi) machinga kufikia matarajio na maisha Bora.
Kwa kiwango cha kutosha, Prof amempa mh Magufuli sifa kubwa za kuliongoza Taifa.
Kama ule wa Serikali za mitaa[emoji857][emoji857]CCM itashinda kwa kishindo hilo halina mjadala!
Ushindi ni ushindi bwashee!
Huwezi linganisha chadema ya sasa na ya dr Slaa na ya Lowasa ya sasa imepoteza sana mvuto wamebaki wahuni tu.Cdm kimepoteza mvuto au hayo ndio matamanio ya ccm kuwa cdm ipoteze mvuto? Hakuna siasa, na kwenye chaguzi tunaona uhayawani wa wazi, hapo unapimaje chama kupoteza mvuto? Hatuna muda wa kushiriki uchaguzi ambao tunaona wazi kwa macho yetu, ushezi na ukatili wa wazi ili ccm watangazwe washindi. Udhaifu sio kuacha kushiriki uchaguzi, bali udhaifu ni kushiriki uchaguzi ambao unaona kabisa ushenzi wa wazi ili ccm watangazwe washindi.
Hapo kwenye hayo marekebisho bora ukae kimya tu.
Prof. Mukandala muhadhara wake aliangalia mbele mpaka 2020 kuona kama utawala huu wa CCM utaweza kujirekebisha 2018, 2019 na ghafla tupo 2020.
Body language ya vigogo wateule ktk muhadhara huo ulionesha kuna mapungufu kibao lakini ndiyo hivyo Mwenyekiti CCM na Katibu wa CCM waliona 2020 ni mbali pamoja ya Prof. kuwapa angalizo hajui hatima ya CCM Mpya 2020 kutokana na mapungufu mengi ktk tathmini.
Muda ni mchache na Vitu vingi utawala wa CCM umeshindwa kuvirekebisha au kufanya vizuri.
Usiwe mtu mwenye mawazo mgando. Kama zimejengwa hospital 67 za wilaya, vituo vya afya 467 na zahanati zaidi ya mia nne usiulizie masuala madogo kama mil 50.Niko upande wa prof ....jamaa Akili kubwa ....ukiachana na ahadi hewa za kujenga viwonder na mil 50 kila kijiji.
huwezi linganisha chadema ya sasa na ya dr slaa na ya lowasa.ya sasa imepoteza sana mvuto.wamebaki wahuni tu.
ndo maana wenye busara wanahama au wanakaa kimya kama akina prof. safari na prof.baregu.
kuhusu kukurekebisha umeshaelewa wapi ulipokosea herufi.huwa unatokea mtu kukosea.lazima ukubali sio aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana uwezi kudanganya na wakati mambo yapo wazi jamaa.Hujui siasa, ww ni bendera fuata upepo. Cdm chini ya Dr. Slaa mazingira ya kisiasa yalikuwa tofauti na sasa. Wakati wa Dr. Slaa siasa za ushindani ziliruhusiwa, sasa hivi chini ya Magufuli kuna siasa za shuruti za kuikubali ccm, na hakuna ruhusa ya kufanya siasa za ushindani. Usimtaje Lowassa maana Lowassa hajawahi kuwa mwanacdm wala kufanya siasa ndani ya cdm, bali alinunua nafasi ya kugombea urais ndani ya cdm. Hao wanaohama sio wenye busara, bali ni watu wasioweza ushindani wa kweli, hivyo wanaenda sehemu watakazopata nafasi za mbeleko. Professor Baregu au Safari sijawahi kuwaona kwenye siasa za majukwaani, sasa unaposema wako kimya sijui unamaanisha nini?
Hapo kwenye kukosea narudia tena ni bora ukakaa kimya.
Mlichobakiza ni matusi na upuuzi. Watu wanashukuru serikali kwa kufanya makubwa unaleta upuuzi wa kuhoji mil 50!