NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
sasa unajitoaje kimasomaso kumtetea fisadi na mzinzi kama mbowe haliyakuwa hunauwezo wa kumtetea ?Narudia tena, hayo majibu unayoyataka nenda kwa mke wa Mbowe au msemaji wake. Hapa ninajadili siasa, sio mambo binafsi ya mwanasiasa, au tuhuma za watu wenye nongwa. Watu wa kujibu maswali unayoyataka nimeshakutajia, je una lingine kwa msaaada zaidi?
kwanza ni sababu ipi iliyomfanya mbowe ahamishie fedha kwenye akaunti yake ya uswiss tsh bilioni 8.5 ?
naomba uwe mwepesi kujibu watu wanafatilia jf wangependa kujua mustakbal wa fedha za chama
Sent using Jamii Forums mobile app