Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Acha unafiki wewe hayo ni mawazo yake kama mimi nisiyependa hiyo mahakama ya kadhi
Duh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafiki wewe hayo ni mawazo yake kama mimi nisiyependa hiyo mahakama ya kadhi
Unaposema Katoliki wana Mahakama yao unamaanisha nini? Mahakama ya Katoliki si ndiyo hii tunayoitumia wote?,
CCM haikubali mahakama za kadhi! Chadema pia haitaki! Waislamu wanasubiri chama kinachokubali mahakama ya kadhi ili wapate kura zao! CCM na Chadema msimamo wao ni mmoja!
Hongera kwa kuchangia. Ila umechangia pumbaHahahha sasa hivi watamgeuka prof safari ngoja waamke kesho utaona povu lao hapa,na wataokuja kumpiga safari sio wafuasi wa ccm ni hao hao wenzake,rangi ya cdm bwana huwa haijifichi kwenye masuala kama haya,
Akihitimisha hoja zake katika kipindi cha this week in perspective kinachoongozwa na Adam Simbeye (TBC) leo usiku saa 4 tarehe 14/06/2013, Prof. Safari amesema kuna mambo mawili yanayosababisha kutokuelewana miongoni mwa watu duniani; migogoro ya kidini na kugombea rasilimali.
Hivyo ili kuliepusha taifa la Tanzania katika migogoro ya kidini ni budi tume ya mabadiliko ya katiba inayoongozwa na Jaji Warioba ione uwezekano wa kuingiza mahakama ya kadhi katika rasimu ya katiba mpya! Kwa maoni yake ni kwamba nchi zote zinazotuzunguka zimeanzisha mahakama hizo, hivyo Tanzania haiwezi ikawa tofauti! Suala hili ni kwa maslahi ya ustawi wa Tanzania!
Hapo nyekundu ndo ameniacha.. Siamini Prof mzima aseme hayo.. hivi kila kinachofanywa na jirani yako ni lazima tuige??? Basi tuanze na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama wafanyavyo majirani zetu wengi. Du! kama kweli yupo Chadema atakuwa mzigo usiobebeka.
Maoni yangu na ya wengi... mahakama ya kadhi isionekane kwenye katiba ya JMT, na ya Tanganyika. Kama ambavyo kuna madhehebu mengi Tanganyika. Vivyo hivyo na sheria zao na mahakama zao, hata wakitaka kwenye familia zao.. Sasa huyo msomi wa Chadema anatuambia nini? Asituchanganye bwana, kama keshanunuliwa, aseme.
vip zitto kavuliwa uanachama kwa kuwatetea waislamu bungeni? Ukiwa mwongo kwa umri wako,jiandae kuwa mchawi uzeeni!Mtei atamvua uanachama shauri yake! Ukiwa huko ni Marufuku, Strictly prohibited kutetea Waislam ikibidi unaruhusiwa kuwa Wakili wa Serikal kwa muda, Slaa kwenye ishu ya Sensa na MOU alijikabidhi kazi ya kuwa mtetezi wa serikal, namshauri huyo Prof kuhakikisha vigezo na masharti ya kuwa huko vinazingatiwa!
chama hicho ni cuf, watanzania wengi hawawezi kukichagua chama hicho chenye mrengo wa uliberali!CCM haikubali mahakama za kadhi! Chadema pia haitaki! Waislamu wanasubiri chama kinachokubali mahakama ya kadhi ili wapate kura zao! CCM na Chadema msimamo wao ni mmoja!
Umeua!Wengi tungependa kusema iendeshwe kwa gharama za Waislam wenyewe, lakini hizo kesi za Mirathi na Ndoa, za waumini wa kiislam ambazo sasa zinaenda kwenye mahakama za kawaida, zinagharamiwa na nani? Serikali au Waislam?
Issue ni kwamba hata wakristu nao watadai, then mahakama ya serikali itabaki na nani?Sidhani km umeona hasara ingine hapa yaani mahakimu wa hizo mahakama watalipwa na nani?Na hizo mahakama zitatumia majengo gani?Vipi kuhusu stationery,umeme na mengine?Ni vizuri Watanzania kujifunza kusikiliza maoni ya watu wengine. Mimi si Muislam lakini siwezi kamwe kukimbilia kusema kuwa ni wazo baya kama sina ufahamu wa kutosha kuhusu maoni yaliyotolewa.
Naamini hakuna mtu anayepinga uanzishaji wa Mahakama ya Kadhi, mjadala mkubwa ilikuwa iendeshwe kwa gharama ya nani, serikali au waislam wenyewe? Wengi tungependa kusema iendeshwe kwa gharama za Waislam wenyewe, lakini hizo kesi za Mirathi na Ndoa, za waumini wa kiislam ambazo sasa zinaenda kwenye mahakama za kawaida, zinagharamiwa na nani? Serikali au Waislam?
Shirikisha brain kabla hujapost chochote. Usiwe na uwezo mdogo wa uelewa kama wale wauza dawa za kisuna za nguvu za kiume nje ya misikiti
Mkuu kuna kitu watanzania wakiislam wanachanganya. Population ya Waislam Uganda na Kenya ni very minimal kiasi kwamba hata ukiruhusu matakwa yote ya waislam nchi haitavurugika. Huku kwetu ni tofauti. Ni kama Nigeria. Tupo karibu idadi sawa. Sasa Serikali lazima iwe makini yasitokee ya Nigeria au Sudan kiasi cha nchi kugawanywa ingawa kwa Sudan udini was not the case lakini ulikuwepo. Ni sawa huku kwetu mabudha waseme wanataka mahakama yao...ukiwaruhusu hutaona kelele kwakuwa ni kundi dogo sana
Mnafiki mwenyeweAcha unafiki wewe hayo ni mawazo yake kama mimi nisiyependa hiyo mahakama ya kadhi
Chadema inaunga mkono mahakama ya kadhi iendeshwe na waislam wenyewe sio na serikali inayotegemea kodi kwenye Bia, Sigara, Kondom, Guest houses, mabucha ya nguruwe n.k...Kwa kutaka Serikali iiendeshe hiyo mahakama ni kuinajisi.
Wabilah Tawfiq,
Mzito Kabwela
Hapo nyekundu ndo ameniacha.. Siamini Prof mzima aseme hayo.. hivi kila kinachofanywa na jirani yako ni lazima tuige??? Basi tuanze na vita vya wenyewe kwa wenyewe kama wafanyavyo majirani zetu wengi. Du! kama kweli yupo Chadema atakuwa mzigo usiobebeka.
Maoni yangu na ya wengi... mahakama ya kadhi isionekane kwenye katiba ya JMT, na ya Tanganyika. Kama ambavyo kuna madhehebu mengi Tanganyika. Vivyo hivyo na sheria zao na mahakama zao, hata wakitaka kwenye familia zao.. Sasa huyo msomi wa Chadema anatuambia nini? Asituchanganye bwana, kama keshanunuliwa, aseme.
Afukuzwe uanachama tu, hatutaki misikule kwenye chama!
Shirikisha brain kabla hujapost chochote. Usiwe na uwezo mdogo wa uelewa kama wale wauza dawa za kisuna za nguvu za kiume nje ya misikiti
Huoni kuwa Mahakama za Kadhi zitazipunguzia mzigo mkubwa sana Mahakama za kawaida ambapo zitakuwa na nafasi kubwa sana ya kushughulika na kesi nyingi kinyume na sasa hivi ambapo inapita miaka kwa kesi nyingine bila kushughulikiwa?Sidhani km umeona hasara ingine hapa yaani mahakimu wa hizo mahakama watalipwa na nani?Na hizo mahakama zitatumia majengo gani?Vipi kuhusu stationery,umeme na mengine?