Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kwa nyakato tofauti Wadau mbalimbali wamekuwa wakilalamikia mfumo huo na kueleza una changamoto, pia Viongozi wao wanaohusika wengi wao hawautumii kupitisha nyaraka au michakato yao ya kiofisi ikiwemo uhamisho.
====================================
NB:
PEPMIS ni Mfumo wa Utendaji Kazi wa Watumishi (PEPMIS)
ESS ni Mfumo wa Employee Self Service (ESS).
Pia soma
~ Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi
~ Inakuaje mtu amejaza PEPMIS halafu taarifa zake zinapotea?
~ Wahadhiri nao walalamikia Mfumo wa PEPMIS, washindwa kupandishwa daraja licha ya kukidhi vigezo vyote
~ Watumishi wameshindwa kupanda daraja kwa kutojua maana ya total score na progressive score
~ Watumishi wa Umma waendelea kulalamika kukosa madaraja kutokana na changamoto za mfumo wa PEPMIS
~ Nini hatma yetu tuliohama Kituo cha Kazi Kisa Majukumu yetu PEPMIS ya kwenye ESS-Utumishi kufutika tukiwa na Sifa za Kupandishwa Madaraja Mwaka 2026?
~ Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS