Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya Chinangali Park, Jijini Dodoma.
Kwa nyakato tofauti Wadau mbalimbali wamekuwa wakilalamikia mfumo huo na kueleza una changamoto, pia Viongozi wao wanaohusika wengi wao hawautumii kupitisha nyaraka au michakato yao ya kiofisi ikiwemo uhamisho.
====================================
NB:
PEPMIS ni Mfumo wa Utendaji Kazi wa Watumishi (PEPMIS)
ESS ni Mfumo wa Employee Self Service (ESS).
Na bado yupo tu ofisini profeseri? Hivi hizi sampuli huwa zinapimwaje utendaji wao? Yani unakiri uharo uliofeli ukiwa kiongozi na hujajichukulia hatua wala kuwachukulia unaowaita wazembe? Apedomia tu