Kuwa na haki na kuwa na sababu ni vitu viwili tofauti.
Unamshtaki diwani aliyeshinda uchaguzi kwa sababu unazo sababu za kufanya hivyo.
Lakini kumshitaki diwani aliyeshinda uchaguzi kwa kuwa tuu una haki ya kufanya hivyo does not make sense to me.
Au haki nayo ni sababu? lol.
EMT,
..lakini malalamiko dhidi ya Mgonja yalihusisha masuala ya rushwa.
..wakati hii ya Lema inahusisha matamshi aliyoyatoa wakati wa kampeni ambayo wapiga kura watatu wanaamini ni kashfa na wameathirika.
Seems like you missed the point I was trying to make!
Wengine hatukushiriki sana kwenye huo mjadala lakini everytime I come across such blanket statement kama hii yako, I lose interest. Jaribu kuwapa breathing space watu usiokubaliana nao...mara wapenzi wa Chadema, mara wapenzi wa Dr. Slaa na sasa imeongezeka wapenzi wa Lema, duh, eti hawana uelewa wa nini kinachoongelewa. Kiranga nakuheshimu na nisingependa tujiingize kwenye nani zaidi bali tubakie kwenye kupingana kwa hoja...ni hayo tu, sasa tuendeleee. How I wish some of us had more time to participate kwenye mijadala mbalimbali but then...
Binafsi naamini kuna mambo ya kipuuzi tunayoyapa kipaumbele while in actual fact ni non issues from the word go. Sisi tuliobahatika kupata exposure kwa wenzetu ambako demokrasia imekomaa, no voter would dream of going to court to challenge an election result based on mgombea anayemtaka kushindwa uchaguzi kwa sababu alikashifiwa kwenye kampeni huku mhusika hayuko tayari hata kuwa shahidi mahakamani...it is stupid, ridiculous and makes no sense. Nina hakika hata mahakama ililiona hili kwamba ku"entertain" kitu kama hicho ni kuidhalilisha mahakama. Naamini hukumu iliyotolewa ilizingatia hilo.

EMT, Richard,EMT said:Ni kweli kesi ya Mngoja ilihusiana na mambo ya rushwa na na Lema ilihusiana na matamshi wakati wa kampeni, lakini Mahakama ya Rufaa imetoa a blanket ruling rergadless ya tuhuma zenyewe.
Hehehe. Mwalimu wangu aliyenifundisha maana na application ya locus standi nae anapinga?
Ngoja nikakague notes za lectures zake wakati anatufindisha hii kitu kama alisema the doctrine of locus standi does not apply to election litigation, let alone mentioning the case of Mgonja.
Mgonja was a good law until the CA said in Lema it wasn't.
It does not matter that Mgonja had been binding for 30 years. Tunazo sheria za muda mrefu mbovu nyingi tuu.
May be before Lema, the CA did not have an opportunity to consider whether Mgonja was a good law.
Bado haijaniingia akilini eti mtu aliyejiandikisha na kupigia kura Chake Chake anakuja kumshtaki diwani aliyeshinda uchaguzi Ngara eti kwa sababu anayo haki ya kufanya hivyo hata kama haki zake hazijawa affected.
Kesi ya Lema itazuia wanasiasa wenye uchu wa madaraka kujificha nyuma ya wapiga kura wa kawaida kufungua kesi halafu wakishindwa wanawakana inapofikia muda ya kulipia gharama za kesi.
Bado haijaniingia akilini eti mtu aliyejiandikisha na kupigia kura Chake Chake anakuja kumshtaki diwani aliyeshinda uchaguzi Ngara eti kwa sababu anayo haki ya kufanya hivyo hata kama haki zake hazijawa affected.
Diwani: Mtu aliyechaguliwa na watu wa kata fulani ili awawakilishe katika halmashauri ya mji au wilaya.
Mbunge: Mtu aliyechaguliwa na watu ili kuwawakilisha bungeni.
Bunge: Baraza la taifa la kutunga sheria na lenye wajumbe waliochaguliwa na wananchi ili kuwawakilisha.
Aliyejiandikisha Chake Chake ana haki ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Karatu kisheria, kwa sababu kimantiki Mbunge wa Karatu akiwa Bungeni atajadili na kuya-impact maisha ya Chake Chake.
Pia ni wajibu wa kila mwananchi kuhakikisha sheria za nchi zinatekelezwa
Wakuu EMT na Jokakuu,
Mimi nawaheshimu sana na sisi wote ni brothers na makomredi ambao watu wanatusoma hapa, na ninyi ni wanasheria.
Sasa ni lazima tulenge kwenye principles kwamba mzee Shivji amekurupuka na hoja yake.
Kama alivyotanabaisha JokaKuu kwamba kesi ya Mgonja ilihusu madai kwamba kulikuwepo rushwa na hii kesi ya Mheshimiwa Lema ilikuwa na madai tofauti.
Anachosema Prof Shivji ndicho nilichosema mimi awali hapa, ukiondoa mfano wa kesi ya Chediel Mgonja.
Halafu angalia washabiki wa Lema watakavyokuja kijumlajumla bila uelewa wa nini kimepingwa.
Kimomogoro anachekesha. If anything mpiga kura anatakiwa awe na haki kuliko mgombea.