Wengine hatukushiriki sana kwenye huo mjadala lakini everytime I come across such blanket statement kama hii yako, I lose interest. Jaribu kuwapa breathing space watu usiokubaliana nao...mara wapenzi wa Chadema, mara wapenzi wa Dr. Slaa na sasa imeongezeka wapenzi wa Lema, duh, eti hawana uelewa wa nini kinachoongelewa.
Kiranga nakuheshimu na nisingependa tujiingize kwenye nani zaidi bali tubakie kwenye kupingana kwa hoja...ni hayo tu, sasa tuendeleee. How I wish some of us had more time to participate kwenye mijadala mbalimbali but then...
Binafsi naamini kuna mambo ya kipuuzi tunayoyapa kipaumbele while in actual fact ni non issues from the word go. Sisi tuliobahatika kupata exposure kwa wenzetu ambako demokrasia imekomaa, no voter would dream of going to court to challenge an election result based on mgombea anayemtaka kushindwa uchaguzi kwa sababu alikashifiwa kwenye kampeni huku mhusika hayuko tayari hata kuwa shahidi mahakamani...it is stupid, ridiculous and makes no sense. Nina hakika hata mahakama ililiona hili kwamba ku"entertain" kitu kama hicho ni kuidhalilisha mahakama. Naamini hukumu iliyotolewa ilizingatia hilo.