Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

Prof. Shivji apinga sehemu ya hukumu ya kesi ya Lema

Kuwa na haki na kuwa na sababu ni vitu viwili tofauti.

Unamshtaki diwani aliyeshinda uchaguzi kwa sababu unazo sababu za kufanya hivyo.

Lakini kumshitaki diwani aliyeshinda uchaguzi kwa kuwa tuu una haki ya kufanya hivyo does not make sense to me.

Au haki nayo ni sababu? lol.
 
Wakuu EMT na Jokakuu,

Mimi nawaheshimu sana na sisi wote ni brothers na makomredi ambao watu wanatusoma hapa, na ninyi ni wanasheria.

Sasa ni lazima tulenge kwenye principles kwamba mzee Shivji amekurupuka na hoja yake.

Kama alivyotanabaisha JokaKuu kwamba kesi ya Mgonja ilihusu madai kwamba kulikuwepo rushwa na hii kesi ya Mheshimiwa Lema ilikuwa na madai tofauti.
 
Seems like you missed the point I was trying to make!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT,

..lakini malalamiko dhidi ya Mgonja yalihusisha masuala ya rushwa.

..wakati hii ya Lema inahusisha matamshi aliyoyatoa wakati wa kampeni ambayo wapiga kura watatu wanaamini ni kashfa na wameathirika.

Kwenye kesi Williarn Bakari and another v Chediel Yohane Mgonja (Civil appeal no. 5 of 1982), petitioners walijumuisha allegations za rushwa dhidi ya Mgonha kwenye pleadings.

Kwenye hiyo kesi Mahakama Kuu iliamua kuwa a register voter has obsolute right to bring an election petition even where his/her rights as a voter were not violated in any way.

Ni kweli kesi ya Mngoja ilihusiana na mambo ya rushwa na na Lema ilihusiana na matamshi wakati wa kampeni, lakini Mahakama ya Rufaa imetoa a blanket ruling rergadless ya tuhuma zenyewe.
 
Richard, EMT,

..nadhani hoja ya Shivji imejikita ktk suala zima la kama wapiga kura wana haki ya kuhoji/kupinga mwenendo na matokeo ya uchaguzi.

..zaidi, hata hiyo kesi ya Mgonja ambayo Prof.Shivji anaitaja kuna watu ambao hawakukubalina na hukumu yake. kwa mfano: mahakama kuu ya Arusha ilimuona Chediel Mgonja hana makosa, wakati mahakama ya rufaa ilimkuta na hatia.

..kuna wengine wanadai Mwalimu Nyerere hakukubaliana na hukumu iliyotolewa dhidi ya Mgonja kiasi cha kuamua kumteua kuwa mkuu wa mkoa kabla hajamaliza adhabu aliyopewa na mahakama ya rufani.

..hata Joseph Warioba, AG wa wakati huo, alipojaribu kumshauri Mwalimu kutengua uteuzi wa Mgonja, Mwalimu alikuwa mbishi. Ilibidi marehemu Sokoine aingilie kati ndipo Mwalimu alipotengua uamuzi huo.

NB:

..sakata hiyo ya uteuzi wa Mgonja iliwahi kuandikwa kwenye gazeti la raia mwema.
 
Last edited by a moderator:
Wengine hatukushiriki sana kwenye huo mjadala lakini everytime I come across such blanket statement kama hii yako, I lose interest. Jaribu kuwapa breathing space watu usiokubaliana nao...mara wapenzi wa Chadema, mara wapenzi wa Dr. Slaa na sasa imeongezeka wapenzi wa Lema, duh, eti hawana uelewa wa nini kinachoongelewa. Kiranga nakuheshimu na nisingependa tujiingize kwenye nani zaidi bali tubakie kwenye kupingana kwa hoja...ni hayo tu, sasa tuendeleee. How I wish some of us had more time to participate kwenye mijadala mbalimbali but then...

Binafsi naamini kuna mambo ya kipuuzi tunayoyapa kipaumbele while in actual fact ni non issues from the word go. Sisi tuliobahatika kupata exposure kwa wenzetu ambako demokrasia imekomaa, no voter would dream of going to court to challenge an election result based on mgombea anayemtaka kushindwa uchaguzi kwa sababu alikashifiwa kwenye kampeni huku mhusika hayuko tayari hata kuwa shahidi mahakamani...it is stupid, ridiculous and makes no sense. Nina hakika hata mahakama ililiona hili kwamba ku"entertain" kitu kama hicho ni kuidhalilisha mahakama. Naamini hukumu iliyotolewa ilizingatia hilo.

Unaanza kwa kusema hukushiriki katika mjadala, maana yake hujui nini kilisemwa na kusemwuka.

Halafu una offer vi opinions and whimsical wittiocism, bila kujua unaongelea nini.

Exactly my sentiments.
 
Wengine hatukushiriki sana kwenye huo mjadala lakini everytime I come across such blanket statement kama hii yako, I lose interest. Jaribu kuwapa breathing space watu usiokubaliana nao...mara wapenzi wa Chadema, mara wapenzi wa Dr. Slaa na sasa imeongezeka wapenzi wa Lema, duh, eti hawana uelewa wa nini kinachoongelewa. Kiranga nakuheshimu na nisingependa tujiingize kwenye nani zaidi bali tubakie kwenye kupingana kwa hoja...ni hayo tu, sasa tuendeleee. How I wish some of us had more time to participate kwenye mijadala mbalimbali but then...

Binafsi naamini kuna mambo ya kipuuzi tunayoyapa kipaumbele while in actual fact ni non issues from the word go. Sisi tuliobahatika kupata exposure kwa wenzetu ambako demokrasia imekomaa, no voter would dream of going to court to challenge an election result based on mgombea anayemtaka kushindwa uchaguzi kwa sababu alikashifiwa kwenye kampeni huku mhusika hayuko tayari hata kuwa shahidi mahakamani...it is stupid, ridiculous and makes no sense. Nina hakika hata mahakama ililiona hili kwamba ku"entertain" kitu kama hicho ni kuidhalilisha mahakama. Naamini hukumu iliyotolewa ilizingatia hilo.

Unaanza kwa kusema hukushiriki vilivyo katika mjadala, maana yake hujui nini kilisemwa na kusemwuka.

Halafu una offer vi opinion and whimsical witticism, bila kujua unaongelea nini.

Exactly my sentiments.

Your post is a disgrace, from head to toe. Now don't make me dissect it.
 
Mkuu EMT unaweza kusoma hapa na hii ndio basis ya uamuzi wa majaji hao kwenye kesi hii.

Katika uamuzi wake Mahakama ya Rufani ilisema kumbukumbu za Mahakama hazionyeshi iwapo vitambulisho vya wapiga kura viliwasilishwa na kupokewa mahakamani na ikaenda mbali zaidi kwa kutilia shaka jinsi rekodi ya kadi hizo zilivyochukuliwa.
Ilisema kinachoonekana katika kumbukumbu za Mahakama ni kiambatisho na maelezo tu kuwa wajiburufani ni wapiga kura waliosajiliwa na kwamba badala yake wakili wao ndiye aliyejaribu kuthibitisha hilo kwa maelezo, badala ya vielelezo.

Ilisema Wakili wa wajibu rufaa, Alute Mughway aliwasilisha kadi za wateja wake kwa Jaji Aloyce Mujulizi kuthibitisha kuwa walikuwa wapiga kura halali, lakini Mahakama hiyo ikasisitiza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha sheria kwa kuwa ushahidi kama huo ulipaswa uwasilishwe moja kwa moja mahakamani na utolewe na wamiliki wa nyaraka husika.

Ilisema hata kama ingethibitika kuwa wajibu rufani walikuwa wapiga kura waliosajiliwa, bado hawakuwa na haki kisheria kufungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi kwa madai ya mrufani kutumia lugha za matusi kwenye kampeni zake."

Hili si ndiyo tulikuwa tunalijadili kule kwa akina Great Thinkers (@Kiranga, Gaijin, Zakumi, EMT na wengineo). Naona hata Shivji naye anaona dosari zilizopo katika hiyo hukumu!

Avumaye baharini papa.....

JF is a beast.

Who is to say Shivji hajapata mambo JF? Considering kuna makubwa zaidi ninayoyaona...

Bongo hatuna wanasheria.
 
Richard, EMT,

..nadhani hoja ya Shivji imejikita ktk suala zima la kama wapiga kura wana haki ya kuhoji/kupinga mwenendo na matokeo ya uchaguzi.

Na ndicho wengine tunachokisema. Kwamba wapiga kura kuwa na haki ya kuhoji/kupinga mwenendo au matokeo ya uchaguzi ni haki ya msingi. Lakini kwa vile tu mtu ana haki ya kufanya hivyo hiyo haina maana kwamba pia ana sababu nzuri za kufanya hivyo kwa kufungua kesi mahakamani.

So your reasons have to pass muster, so to speak.
 
EMT said:
Ni kweli kesi ya Mngoja ilihusiana na mambo ya rushwa na na Lema ilihusiana na matamshi wakati wa kampeni, lakini Mahakama ya Rufaa imetoa a blanket ruling rergadless ya tuhuma zenyewe.
EMT, Richard,

..je, nitakuwa nimekosea nikidai kwamba mwaka 82, katika hukumu yake dhidi ya Mgonja, mahakama ya rufaa ilifanya makosa kwa kumpa haki mpiga kura yeyote yule, kupinga matokeo ya uchaguzi wowote, kwa sababu zozote zile??
 
Last edited by a moderator:
Hehehe. Mwalimu wangu aliyenifundisha maana na application ya locus standi nae anapinga?

Ngoja nikakague notes za lectures zake wakati anatufindisha hii kitu kama alisema the doctrine of locus standi does not apply to election litigation, let alone mentioning the case of Mgonja.

Mgonja was a good law until the CA said in Lema it wasn't.

It does not matter that Mgonja had been binding for 30 years. Tunazo sheria za muda mrefu mbovu nyingi tuu.

May be before Lema, the CA did not have an opportunity to consider whether Mgonja was a good law.

Bado haijaniingia akilini eti mtu aliyejiandikisha na kupigia kura Chake Chake anakuja kumshtaki diwani aliyeshinda uchaguzi Ngara eti kwa sababu anayo haki ya kufanya hivyo hata kama haki zake hazijawa affected.

Kesi ya Lema itazuia wanasiasa wenye uchu wa madaraka kujificha nyuma ya wapiga kura wa kawaida kufungua kesi halafu wakishindwa wanawakana inapofikia muda ya kulipia gharama za kesi.

Aliyejiandikisha Chake Chake ana haki ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Karatu kisheria, kwa sababu kimantiki Mbunge wa Karatu akiwa Bungeni atajadili na kuya-impact maisha ya Chake Chake.

Pia ni wajibu wa kila mwananchi kuhakikisha sheria za nchi zinatekelezwa
 
  • Thanks
Reactions: EMT

EMT, Richard,

..je, nitakuwa nimekosea nikidai kwamba mwaka 82, katika hukumu yake dhidi ya Mgonja, mahakama ya rufaa ilifanya makosa kwa kumpa haki mpiga kura yeyote yule, kupinga matokeo ya uchaguzi wowote, kwa sababu zozote zile??

Inawezekana taratibu zilizofuatwa wakati ule (mwaka 1982) hazikufuatwa mwaka huu (2012) kwakuzingatia uamuzi wa mahakama na msingi wa uamuzi wa majaji kama nilivyoweka kwenye post yangu namba 29.

Kwahio madai dhidi ya Mgonja yaliandaliwa kwa umakini na bila kuwepo mapungufu na ndio mahakama ya wakati ule ikaona kuna nguvu ya ushahidi dhidi ya Mgonja.

Hivyo tunaweza kusema kwamba Majaji wa wakati ule nao waliona uhalali wa walalamikaji kufungua kesi hiyo na kuoanisha ushahidi na tuhuma.
 
Bado haijaniingia akilini eti mtu aliyejiandikisha na kupigia kura Chake Chake anakuja kumshtaki diwani aliyeshinda uchaguzi Ngara eti kwa sababu anayo haki ya kufanya hivyo hata kama haki zake hazijawa affected.

Halafu ngoja kwanza, hivi udiwani na ubunge upi ambao ni local election?

Fasili ya diwani, mbunge, na bunge, kwa mujibu ya Kamusi ya Kiswahili Sanifu ya Oxford, Toleo la Pili chapisho la mwaka 2012 (na ukitaka namba ya Cheti cha Ithibati kutoka Wizara ya Elimu na Utamaduni nitakupatia, lol) ni kama ifuatavyo;

Diwani: Mtu aliyechaguliwa na watu wa kata fulani ili awawakilishe katika halmashauri ya mji au wilaya.

Mbunge: Mtu aliyechaguliwa na watu ili kuwawakilisha bungeni.

Bunge: Baraza la taifa la kutunga sheria na lenye wajumbe waliochaguliwa na wananchi ili kuwawakilisha.

Nani kati ya mbunge na diwani anayekuhusu zaidi kama mwananchi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Aliyejiandikisha Chake Chake ana haki ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Karatu kisheria, kwa sababu kimantiki Mbunge wa Karatu akiwa Bungeni atajadili na kuya-impact maisha ya Chake Chake.

Pia ni wajibu wa kila mwananchi kuhakikisha sheria za nchi zinatekelezwa

Succinctly precise.
 
Mimi sio mwanasheria lakini ninaona neno HAKI YA MPIGA KURA inahitaji tafsiri kwa sababu haki ya mpiga kura Arusha siyo sawa na haki ya mpiga kura Mwanza. Kila mmoja hapa anamaslahi yake. Kwahiyo kila mpiga kura ashughulike na maslahi ya eneo lake. Vinginevyo kuna walakini
 
Wakuu EMT na Jokakuu,

Mimi nawaheshimu sana na sisi wote ni brothers na makomredi ambao watu wanatusoma hapa, na ninyi ni wanasheria.

Sasa ni lazima tulenge kwenye principles kwamba mzee Shivji amekurupuka na hoja yake.

Kama alivyotanabaisha JokaKuu kwamba kesi ya Mgonja ilihusu madai kwamba kulikuwepo rushwa na hii kesi ya Mheshimiwa Lema ilikuwa na madai tofauti.

Siwezi kusema kuwa Prof. amekurupuka. That's is his opinion and I respect it hata kama sikubaliani nae.

Kwenye baadhi ya articles zake ameandika kuhusu kupanuliwa kwa sheria ya locus standi kwenye baadhi ya nchi kama India.

Kwa kuna uwezekano amekuwa akiunga mkono kupanuliwa kwa hii sheria hata kabla ya kesi ya Lema.
 
Anachosema Prof Shivji ndicho nilichosema mimi awali hapa, ukiondoa mfano wa kesi ya Chediel Mgonja.

Halafu angalia washabiki wa Lema watakavyokuja kijumlajumla bila uelewa wa nini kimepingwa.

Kimomogoro anachekesha. If anything mpiga kura anatakiwa awe na haki kuliko mgombea.

kwa akili nyepesi, kwanza ni mgombea na pili ni mpiga kura, tatu anapiga kura kituo chochote! Sasa hapa atakuwa na haki sawa na mpiga kura pekee?. Ni haki ipi iliyopokwa km haikumletea shida hadi akapiga kura?. Majaji wametengua precedent kesi Mgonja iliyokuwa mahakama kuu, sasa hapa utasemaje wametunga sheria mpya?. Wanasheria wengi tunaweza kupinga hukumu hii kwa maslahi kwamba imetupunguzia wateja wetu!.
 
Back
Top Bottom