Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

Ama ni mhuni au ni chawa wa mama. Kwani nyie hamuoni yale masharti ya kibeberu na kikoloni? Yaani muko tayari nchi iwe rehani kwa dubai kwa kisa gani? Wengine ni udini tu. Wapuuzi sana.
 
Duh!
Bado tu hujapata majibu ya hoja zako!?
 


Jibu hoja zake na sio unakuja na maneno mepesi apuuzwe
 
Wakupuuzwa ni wewe ignorant
 
Serikali ishatolea ufafanuzi kuwa itazirekebisha hizo kasoro. Ondoa hofu. Lkn prof. huyu uchwara anataka kuurejesha umaarufu aliokuwa nao hapo awali kwa kutumia suala DP World
Hebu anza na hiyo hoja ya kwanza, wanarekebisha kasoro gani kwenye hiyo hoja ya kwanza? Halafu ndio tuendelee na hoja ya piki nk.
 
Kwamba tunaongelea mtu na sio Hoja za Mtu ?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…