Hii theory inaathiti uhifadhi, wamasai zamani walikuwa na mifugo yao tu, Sasa matajiri wanawatumia hao wamasai, wanawapa maelfu ya mifugo, wanwaingiza hifadhini
Maasai hawajengi nyumba za kudumu kwa vile huhamahama kufuata malisho. Siku hizi wapo mpaka zambia na mifugo yao maana imeongezeka sana kiasi cha ngombe tu kufikia milioni 30. Hawalimi wananunua vyakula kama mahindi na maharagwe nk.