Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

Mawazo ya profesa yanaheshimiwa lakini kufikia mkataba na DPW kulikuwa na mawazo mbadala ambayo yanakwenda kutupatia nusu ya bajeti ya nchi kila "fiscal year" hapo bandarini.....
Prof ana mawazo ya vitabuni. Hajawahi kuuza hata kiosk
 
Magu alipokua anawatumbua mkamuona ni Dikteta bora Mama wa Watu kaamua kuwauza utumwani mkajipange tena upya huko!!
Ahahahahaaaa

Muungano kweli ni msalaba kwa Tanganyika. Ukimpenda mwanamke asiyekupenda ni mauti yako. Ndicho kinachomtokea baba Tanganyika.
 
Hayo mashirika si yapo chini ya wizara za miundo mbonu mawasiliano na fedha .sasa mawaziri wanafanya kazi gani ikiwa taasisi zao hazinatija
 
Ahahahahaaaa

Muungano kweli ni msalaba kwa Tanganyika. Ukimpenda mwanamke asiyekupenda ni mauti yako. Ndicho kinachomtokea baba Tanganyika.
Dola la Tanganyika haliko....iko ardhi iliyokuwa Tanganyika....unataka kuhoji uchumba wa baba na mama yako ili iweje?!!![emoji15][emoji15]

Siempre El Commandante Julius Kambarage Nyerere[emoji120]
 
Hayo mashirika si yapo chini ya wizara za miundo mbonu mawasiliano na fedha .sasa mawaziri wanafanya kazi gani ikiwa taasisi zao hazinatija
 
Naomba mwenye clip ya Pro Kabuni akizingumzia huu mkataba atuletee kwa sababu tumeaminishwa kwamba yeye ni mwamba kwelikweli ya mikataba. Ndipo tujue Hali halisi ipoje

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app

Yule ni kama yupo Jalalani tu, anafanya kichawa ili mradi mkono uende kinywani japo naamini kuwa kabudi kimoyomoyo kabisa hakubariani na hilo swala. Huyu mzee kwa uoga oga wake wa kusujudia watawala sitokaa nimpe maua yake.
 
Bandari ya Bagamoyo ilihusisha waarabu pia.
Tunataka fedha itoke kwa majini ama mashetani ,waarabu ama wakorea....

Hivi shule mnakwenda kusomea upumbavu?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Tunataka fedha itoke kwa majini ama mashetani ,waarabu ama wakorea....

Hivi shule mnakwenda kusomea upumbavu?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo hutaki kuamini kuwa bandari ya Bagamoyo ingekuwa ya ubia was wachina na waarabu wakiwemo...au?
 
Unguja meno nje nje leo
Yaani pamoja na usomi wako unanibagaza uraia usio wangu?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Tatizo lenu kila mtu anayetetea DPW mnamuita mzanzibari....endelea na "illusions" zako [emoji1787][emoji1787]

#Karibu Al Kasus hapa Makunduchi [emoji120]
 
Tutakuwa kitovu cha madawa ya kulevya, kwasababu yataingia bila ya sisi kuwa na uwezo wa kuzuia.
Sio madawa tu na silaha za magendo zitakuwa zinapitishwa bila kusahau alshababu nao watashamiri
 
Kwa hiyo hutaki kuamini kuwa bandari ya Bagamoyo ingekuwa ya ubia was wachina na waarabu wakiwemo...au?
Unawachukia waarabu ?!!!

Baki na chuki nayo kwani hata wazungu walipowapa uandazi wa kombe la dunia si kwa kuwa wana mapenzi nao ila maslahi....

Dunia hii ni ya kimaslahi....baki na "hisia zako" [emoji1787][emoji1787]
 
Sio madawa tu na silaha za magendo zitakuwa zinapitishwa bila kusahau alshababu nao watashamiri
Ujinga huo.....

Kwa hiyo uwepo wa TICTS miaka 22 uliwaimarisha Al Shabab?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Dubai si "Somalia"....wapi na wapi na Al Shabab....

Kweli Al Shabab walilipua michuano ya kombe la dunia kule Qatar kwa waarabu [emoji1787]

Shule mnakwenda kusomea upumbavu?!![emoji1787]
 
Unawachukia waarabu ?!!!

Baki na chuki nayo kwani hata wazungu walipowapa uandazi wa kombe la dunia si kwa kuwa wana mapenzi nao ila maslahi....

Dunia hii ni ya kimaslahi....baki na "hisia zako" [emoji1787][emoji1787]
Hivi kuna mahali nimeandika kwa hisia nikionyesha nina chuki kwa waarabu? 😲
 
Mzalendo👍
 
TRA nayo haiendeshwi wa ufanisi vipi nayo tuwape wahindi maana wao wanajua sn mapato tutakusanya mmmno napia kavipi ikulu tuwape wamarkani wanajua kuendesha waitihausi kiutalii wanapigaga mahela humo
 
Huyu Shivji hazeeki akili.
Unajaribu kuwaza hata serikali iki import baadhi ya bidhaa kupitia bandarini zinakuwa wazi.

Kiufupi usalama wa nchi yetu unakuwa wazi mno achilia mbali uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…