Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Tarnishing of other people's image?!!![emoji1787][emoji1787]Ukuwadi ni mbaya sana hasa ukiwa kuwadi wa maliasili za taifa lako.
Tunautaka uchumi wetu ukue na taifa liimarike....
Hivi mnataka tu tuongeze bei kwenye sigara na vileo ili tufike tutakako ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]