Pre GE2025 Prof. Shivji: Tanzania haina Chama Cha kuitoa CCM madarakani

Pre GE2025 Prof. Shivji: Tanzania haina Chama Cha kuitoa CCM madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio sababu Viongozi wengi wa Chadema wamesoma pale Diplomasia Kurasini akina Jasusi Yeriko Nyerere 😂😂😂
huenda tulikua pamoja ama vinginevyo but ni jambo muhimu sana kupitia pale diplomasia ili kupata uelewa na ufahamu wa mambo mbalimabali kwasababu mengi katika Africa yalipikwa pale diplomasia,

na ndio maana kumtambua mtu ambae ni kibaraka, mnafiki au msaliti katika siasa ni rahisi sana :pedroP:
 
Back
Top Bottom