Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
huenda tulikua pamoja ama vinginevyo but ni jambo muhimu sana kupitia pale diplomasia ili kupata uelewa na ufahamu wa mambo mbalimabali kwasababu mengi katika Africa yalipikwa pale diplomasia,Ndio sababu Viongozi wengi wa Chadema wamesoma pale Diplomasia Kurasini akina Jasusi Yeriko Nyerere 😂😂😂
na ndio maana kumtambua mtu ambae ni kibaraka, mnafiki au msaliti katika siasa ni rahisi sana
