huenda tulikua pamoja ama vinginevyo but ni jambo muhimu sana kupitia pale diplomasia ili kupata uelewa na ufahamu wa mambo mbalimabali kwasababu mengi katika Africa yalipikwa pale diplomasia,
na ndio maana kumtambua mtu ambae ni kibaraka, mnafiki au msaliti katika siasa ni rahisi sana