Tetesi: Prof. Shukuru Manya kuteuliwa kuwa Waziri wa Madini

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Prof Shukuru Manya, Naibu waziri wa madini ateuliwe kuwa waziri wa madini.
Ninasema hivi kwa sababu zifuatazo:-
1.ameongoza tume ya madini Kwa uadilifu mkubwa.
2. Amesomea masuala ya madini na ndio fani yake
3. Ni mkweli,mwadilifu na mchapa kazi
4. Hana makundi, waziri aliyepo anayelea wafanyakazi Wala Rushwa,wadanganyifu mfano maengineers wa madini waliopo ofisi za madini mwanza na Geita
5. Amefanya kazi geita gold mines Kwa miaka mingi ukilinganisha na waziri aliyepo ambaye ni mwalimu Hana uzoefu wa field work
6. Hana ubia wowote kwenye kampuni za uchimaji madini tofauti na waziri aliyepo ana ubia na makampuni ya uchimbaji .
7. Ina aibu na kudhalilisha taalumu Profesa kupangiwa kazi na mwalimu mwenye master ya ualimu.
8. Doto biteko ana ukabila,mkubwa na ni mbaguzi na ndani ya wizara ya madini anejaza watu kutoka ukanda mmoja.
 
Ndio unamuharibia , Burundi wanasemaje?

USSR
 
Hilo ni pendekezo au tetesi ya kuteuliwa,kama mtoa pendekezo na mleta tetesi ni wewe,tupe uhusiano wa pendekezo na tetesi ukoje?
 
Aliyesema Posho Za Wabunge Ni Kidogo Apewe Nafasi Ya Waziri Wa Fedha Na Mipango Haraka Labda Tanzania Itapumua ๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚
 
Hilo ni pendekezo au tetesi ya kuteuliwa,kama mtoa pendekezo na mleta tetesi ni wewe,tupe uhusiano wa pendekezo na tetesi ukoje?
Tetesi ni zao la pendekezo. Na pendekezo ni zao la uteuzi.Prof. Shukuru Manya. Anafaa ๐Ÿ’ฏ
 
Acha ujinga,waziri sio Mtendaji wa wizara,yeye anasimamia sera,watendaji wapo chini ya Katibu mkuu wa wizara,
Kasome historia vzr,Mzee Salim Ahmed Salim aliyeuliwa kuwa Balozi nchini Misri akiwa kijana wa form six,hata degree hana,na kazi aliiweza,hakuwa intellijensia,polisi,Wala mjeda,
 
Majungu yako hayo
 
Kwahiyo msimamizi wa Sera anatakiwa kuwa kilaza????
 
The sun is about to come up
 
Sawa ushauri umepolewa

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ