Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan Manya ni kabila Gani?Prof Shukuru Manya, Naibu waziri wa madini ateuliwe kuwa waziri wa madini.
Ninasema hivi kwa sababu zifuatazo:-
1.ameongoza tume ya madini Kwa uadilifu mkubwa.
2. Amesomea masuala ya madini na ndio fani yake
3. Ni mkweli,mwadilifu na mchapa kazi
4. Hana makundi, waziri aliyepo anayelea wafanyakazi Wala Rushwa,wadanganyifu mfano maengineers wa madini waliopo ofisi za madini mwanza na Geita
5. Amefanya kazi geita gold mines Kwa miaka mingi ukilinganisha na waziri aliyepo ambaye ni mwalimu Hana uzoefu wa field work
6. Hana ubia wowote kwenye kampuni za uchimaji madini tofauti na waziri aliyepo ana ubia na makampuni ya uchimbaji .
7. Ina aibu na kudhalilisha taalumu Profesa kupangiwa kazi na mwalimu mwenye master ya ualimu.
8. Doto biteko ana ukabila,mkubwa na ni mbaguzi na ndani ya wizara ya madini anejaza watu kutoka ukanda mmoja.
Manya ni msabato ana makuu,sio mwizi anaofu ya Mungu
Ongeza sauti mkuuManya ni msabato ana makuu,sio mwizi anaofu ya Mungu
Kwan Manya ni kabila Gani?
Kumbe jamii ya prof.Muhongo siungi hojaMtu wa Ukerewe Mjitta