Tetesi: Prof. Shukuru Manya kuteuliwa kuwa Waziri wa Madini

Hata asipoteuliwa, that man is very honest and God-fearing. Ukishaona mwanaume hana michepuko basi fahamu integrity yake siyo ya mchezo.
Hahaahaa, Acha kutusema sisi wanaume. Yaani uungwana huwa tunafanya, tunasambaza upendo. michepuko ndio busara. Wangoni husema "MPELAI ABELAI MWENEEE" yaani wewe mpe akatae mwenyewe.
 
Basi Dotto Biteko.....imetosha mtoto wa Dada...apumzike
 
Miaka 5 hii tutaona na kusikia mengi ni yetu macho na kuomba uzima tu
 
Morogoro Kuna matapeli kibao wa madini na vijiwe vyao tunavijua.
 
Aaahh...hiyo nafas inamtoshaaa...tulia na ww
 
STd 7
 
Kama ni mwl kweli ,walimu wezake watakua wamemkoma hasa wakike
 
Biteko si mtu wa watu
 
Nimegundua mleta mada ni mbumbumbu sana, na mpika majungu

Eti Dotó Biteko kajaza watu wa kanda yake tu wizarani
kwani Waziri ndie anahusika kuajiri watumishi wizarani????
 
Sijui nani katuroga WATANZANIA?

Yaani ni MABINGWA wa MAJUNGU
 
Watanzania Katika ubora wetu
 
Hata asipoteuliwa, that man is very honest and God-fearing. Ukishaona mwanaume hana michepuko basi fahamu integrity yake siyo ya mchezo.
Hahahaaaa

Thanks mkuu kwa kutupa heshima
 
Sijakuelewa hoja yko hapa
Jibu hoja za mdau kwa Fact
Sio unapinga kwa porojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…