Tetesi: Prof. Shukuru Manya kuteuliwa kuwa Waziri wa Madini

Kwa ujumla, mahitaji ya kazi yamezidi uwezo wa Biteko.
 
Majungu tu wabongo. Wizara mbona inafanya vzr hasa makusanyo ni mazuri ndo jambo la mhm. Kutoroshwa madini ungejua waziri sio kazi yake. Kubwa ni kuhakikisha wawekezaji wanakuja
 
Ungemwombea cheo cha kiutendaji kama katibu mkuu wa wizara, uwaziri ni cheo cha kisiasa hahusiki na utendaji moja kwa moja...
 
Kwan Manya ni kabila Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…