peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.
Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.
Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
www.jamiiforums.com

Rais John Magufuli amteua Profesa Shukrani Manya kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Madini, baada Francis Ndulane kushindwa kuapa
Rais John Magufuli amemteua Profesa Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri Wizara ya Madini, baada ya Mbunge wa Kilwa Kaskazini Francis Ndulane kushindwa kuapa juzi na kuibua sintofahamu. === Profesa Shukrani Manya Prof. Shukrani Elisha Manya is the Executive Secretary of the Mining...