kikokotoo kipya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 441
- 488
Huwezi kupata tusi la kupinga ukweli, wewe umeandika kishabiki kana kwamba unajua na una uhakika profesa analipwa bila kazi yoyote, tena pesa nyingi. Hata ungepata hilo au ukipata tusi Rudi Mimi hakuna tusi jipya sijawahi sikia. Zaidi ya Leo kushangazwa na mtu mzushi na mbea asubuhi.. wewe ukiwa kiongozi ni hatari unaweza kumpa mtu kesi kubwa kwa uzushi wakoNimekosa tusi la…
Huwezi kupata tusi la kupinga ukweli, wewe umeandika kishabiki kana kwamba unajua na una uhakika profesa analipwa bila kazi yoyote, tena pesa nyingi. Hata ungepata hilo au ukipata tusi Rudi Mimi hakuna tusi jipya sijawahi sikia. Zaidi ya Leo kushangazwa na mtu mzushi na mbea asubuhi.. wewe ukiwa kiongozi ni hatari unaweza kumpa mtu kesi kubwa kwa uzushi wako
Wasomi rozali ni hisia zako binafsi tu. Serikali inatazama kama cheo kinaenda sambamba na uwezo wa anayepewa.Wewe unaishi nchi hii? Manya aliisha nyangwanywa huo unaibu Waziri, sijajua alipewa mzanzibar au mwisiramu, maana Sasahivi nipunguza wasoma rozali, ila ngoja nifungue mafaili yangu nione kapewa nani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwenye utawala wa Mama watu wenye akili kama Prof.Shukuru wanini yakhe!
Mama anataka watu wa kawaida kama Nape,Ridhiwan na January et al!
Pro. Manya ni Mbunge, wewe unataka afanye kazi gani?Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.
Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.
Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
Mleta mada ni raia wa kawaida, humlipi wewe mshahara, huna uwezo wa kumuuliza yuko wapi anafanya nini. Waziri analipwa kwa kod ndio maana anatafutwa yuko wapi.Kwani mleta Uzi wewe upo wapi na unafanya Nini?
Ni kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya MadiniI met him once,he is very very smart,anaijua vzr sana sekta ya madini.Ila si Naibu waziri tena.
Pro. Manya ni Mbunge, wewe unataka afanye kazi gani?
1. Sunlodges v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub.
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
3. Symbion Power and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
4. Saab v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
5. Winshear v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
6. Nachingwea and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
Mkuu Njoo inbox Nitumie kamilion kwa kumwaga madini JfNi kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini
Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi
Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
Peno Hesagawa ,Mwandishi uliejaa uongo na uzandikiNdugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.
Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.
Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
Watu kama Professor Shukuru Manya ni watu ambao walistahili kuwa Rais au Waziri wa madini.Ni kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini
Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi
Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
Huu Ndio ukweli mnao upenda?Peno Hesagawa ,Mwandishi uliejaa uongo na uzandiki
Kwann unapenda kuzusha uongo?ungejitahidi hata kuandika ukweli hata siku moja ungesaidia nchi,hizi stories zako za kuzusha unatumia Muda wako Vibaya ndg yangu
Nakushauri penda kusema ukweli kwenye maisha yako punguza fitina kwa umri wako havina faida hata siku moja
Sasa wewe unamyanganya cheo Professor tena wa madini na miamba unakwenda kumkabidhi wizara, Mtu wa education Mwalimu wa digree ambaye ajui chochote kuhusu madini, kwanini tusiwe na maswali?Wasomi rozali ni hisia zako binafsi tu. Serikali inatazama kama cheo kinaenda sambamba na uwezo wa anayepewa.
Profesa Manya ni mbunge wa kuteuliwa nafasi 10 za rais, yuko bungeni anafnya kazi za kibunge.- UTAKUWA NA CHUKI, ROHO MBAYA,NA AKILI MBOVUNdugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.
Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.
Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.
Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.
Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
Nimecheka kwa sauti, na ambao hatujawahi kupata zamu tuna comment wapi? 😂😂😂Hata mkumbushie kijanja enzi zenu ziliisha,
Hizi ni za wengine muendelee kuvumilia tu
Kuumia kwa zamu
Ukiongea nae na we ukawa unajua issue za madini utaona hapa unaongea na kichwaNi kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini
Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi
Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
Mimi sawa na upeo mdogo wa covcs, wewe unamjua huyu mleta nada ni nani, na anafanya Nini, au na wewe na wale watu wa makasiriko. Mwenye upeo mkubwa mleta mada hajui hata kama ni mbunge na bunge lipo live , yaani mwenye uelewa mkubwa hajui urai wa kawaida kuwa profesa si kamishina wa madini mpaka anaamini kuwa analipwa pasi na kufanya kazi yoyote, wewe mwenye uelewa mkubwa civics ni pamoja na kuwa current na mambo ya kitaifa na kimataifa.Mleta mada ni raia wa kawaida, humlipi wewe mshahara, huna uwezo wa kumuuliza yuko wapi anafanya nini. Waziri analipwa kwa kod ndio maana anatafutwa yuko wapi.
Typical third world tax payer, hujui haki zako za kuhoji kama mlipa kodi maskini ya Mungu. Upeo wa civic knowledge mdogo.
JPM aliyewatoa chuoni hao waalimu alipokuwa anawafukuza kazi hakuongelea huo ujinga wa rozali. Mnapenda kukimbilia chokochoko na umbeya wa masuala ya kidini lakini hayawasaidii.Sasa wewe unamyanganya cheo Professor tena wa madini na miamba unakwenda kumkabidhi wizara, Mtu wa education Mwalimu wa digree ambaye ajui chochote kuhusu madini, kwanini tusiwe na maswali?