Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Too late. Huyu si mmoja wa waliosifia? Amendment zingefanywa kabla ya mkataba kuhalalishwa na Bunge. Baada ya hapo kila amendment ina gharama zake.Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
View attachment 2655023
Too late. Huyu si mmoja wa waliosifia? Amendment zingefanywa kabla ya mkataba kuhalalishwa na Bunge. Baada ya hapo kila amendment ina gharama zake.
Amandla...
Ukitaka kubali kitu chochote kitalazimisha hatua zote za kubariki mabadiliko hayo zipitiwe tena kama ilivyokuwa katika mkataba wenyewe. Hizo hatua zitagharimu muda na pesa. Aidha, upande wa pili unaweza kusema ili niridhie matakwa itabidi mnipe kitu fulani.Gharama kwa maana gani?
Hiyo inamaanisha unakuwa una alter mkataba. Is a sort of breach of contract.Gharama kwa maana gani?
Sasa huyu prof buana sasa walipitisha nini? Pale kulikua na hatua ya kupitisha sio kufanyia marekebisho na bunge hiyo siku, ndo maana elisomwa hadharani.Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
View attachment 2655023
Huyu professor sasa hivi iko nje ya system ndo maana anaona manyota manyota..........pale kila mbunge alio pendekeza mda wa makubaliano jua alikua nje ya system, Do world alikubali yale makubaliano kwasbb ya nampa mda mlefu usio julikana, hiyo ndo secret behind.Kama profesa anaona manyotanyota iweje Nape aje aseme eti Watanzania tena majority ambao ni akina kabwela wameelewa?
Bora kurekebisha mapema maana gharama zitakuwa na unafuu kuliko kusubiri wafunge mitambo yao halafu wawekeze pesa halafu ndio tuje kugundua tulikosea gharama zitakuwa kubwa saanaUkitaka kubali kitu chochote kitalazimisha hatua zote za kubariki mabadiliko hayo zipitiwe tena kama ilivyokuwa katika mkataba wenyewe. Hizo hatua zitagharimu muda na pesa. Aidha, upande wa pili unaweza kusema ili niridhie matakwa itabidi mnipe kitu fulani.
Amandla...
Mambo ya mikataba magumu. Hamna wakati mzuri wa kufanya marekebisho BAADA ya kusaini. Ndio maana wakina Tibaijuka walipaswa kupaza sauti kabla ya Bunge kupitisha.Bora kurekebisha mapema maana gharama zitakuwa na unafuu kuliko kusubiri wafunge mitambo yao halafu wawekeze pesa halafu ndio tuje kugundua tulikosea gharama zitakuwa kubwa saana
Kuterminate mkataba kuna gharama zake gharama za kuterminate mwanzo haziwezi kuwa sawa wakati watu washawekeza na kuanza kuoperateMambo ya mikataba magumu. Hamna wakati mzuri wa kufanya marekebisho BAADA ya kusaini. Ndio maana wakina Tibaijuka walipaswa kupaza sauti kabla ya Bunge kupitisha.
Amandla...
Mpaka hapa tumeingia choo Cha kike tayari. Hiki ni kitanzi kikubwa sana, hakina ukomo., Mkataba unakuwa hauna ukomo wa muda.? Mambo ya aibu sana haya aisee mtawatoaje Hawa watu.Bora kurekebisha mapema maana gharama zitakuwa na unafuu kuliko kusubiri wafunge mitambo yao halafu wawekeze pesa halafu ndio tuje kugundua tulikosea gharama zitakuwa kubwa saana
Mkuu yani hii nchi kwakweli basi tu. Mimi kuna muda huwa ili niishi kwa furaha sifuatilii masuala ya siasa na hata nikikutana na thread humo naziignore nizisioneMpaka hapa tumeingia choo Cha kike tayari. Hiki ni kitanzi kikubwa sana, hakina ukomo., Mkataba unakuwa hauna ukomo wa muda.? Mambo ya aibu sana haya aisee mtawatoaje Hawa watu.
Mkuu hatari sana aisee. Kama Kwa uwingi ule tunaweza kujiingiza kwenye kitanzi kama hiki.? Hili taifa litaangamia sana.Mkuu yani hii nchi kwakweli basi tu. Mimi kuna muda huwa ili niishi kwa furaha sifuatilii masuala ya siasa na hata nikikutana na thread humo naziignore nizisione
Wabunge hata ambao hawaafiki waoga kusema wakaamua wasiingieMkuu hatari sana aisee. Kama Kwa uwingi ule tunaweza kujiingiza kwenye kitanzi kama hiki.? Hili taifa litaangamia sana.
Wabunge hata kusema Kwa mkataba tuwape muda hakuna kabisa yaani kinyakyusa wanasemaje "koma lyendeghe"
Yaani piga isonge. Nimepata taabu sana aisee kulielewa bunge hili aisee.
Mkuu, nilimtazama Speaker anavyojitahidi kumyumbiaha Halima Mdee ili mradi tu awe destructed from the lane. Aiseee. Nilipandwa na hasira kubwa sana kwakweli.Wabunge hata ambao hawaafiki waoga kusema wakaamua wasiingie