Bwashee Geita haigawanywi ila Chato na Bukombe ndio zitaenda kuungana na Kakonko ya Kigoma na Biharamulo na Ngara za Kagera ili kuunda mkoa mpya wa Rubondo.
 
Madiwani mbona wamekataa kwa sababu hizo hizo anazotoa Prof. Waliosema chato iwe mkoa ni kamati ya ushauri ya mkoa.
 
yeye anahofu labda muleba yake itakosa mashiko au itamegwa vipandevipande.yy apumzike tu hatuhitaji wazee ambao hata wao walifanya mambo ya hovyo tu wakati wako serikalini.tusiche tukawaanika humu madudu yao wakati wana dhamana serikalini.wamehodhi maeneo ambayo hata hayana manufaa na wananchi wamenyamaza yeye kinamwuma nini acha chato iwe mkoa haya mengine yatajileta yenyewe.mbona wakati mikoa inapandishwa hadhi ya manispaa kuna mikoa kibao haikuwa na sifa lkn ilipandishwa kuwa manispaa.tukiwafuata sana hawa wasomi wa tz hawatatufikisha popote sisi tufanye tu tunayoyajua.hawa ndo waliotushauri hata umeme wa maji haufai na hauna tija na una gharama kubwa.
 
Bwashee Geita haigawanywi ila Chato na Bukombe ndio zitaenda kuungana na Kakonko ya Kigoma na Biharamulo na Ngara za Kagera ili kuunda mkoa mpya wa Rubondo.
sasa chato ikitoka si maana yake Geita imemegwa na kumegwa huko ndio kugawanywa kweneyewe.
 
Mwambieni Mama sasa yeye ni Mzaliwa wa Chato siyo Kagera tena
 

Mama Tibaijuka kautendea haki u professor wake kwenye hili.

Beleshi na liitwe kwa jina lake.
 
Yes
 
Hawa ndio watu wanaoitakia nchi hii mema. Anaandika ukweli bila kujali nani atachukia, anazungumza kitu ambacho anaamini kitaisaidia nchi. Watu wa aina hii ndiyo wanamapinduzi, ndio hawa walioleta maendeleo duniani, hawamfurahishi mtu, bali wanataka ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…