Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Kweli tupu mkuuHawa ndio watu wanaoitakia nchi hii mema. Anaandika ukweli bila kujali nani atachukia, anazungumza kitu ambacho anaamini kitaisaidia nchi. Watu wa aina hii ndiyo wanamapinduzi, ndio hawa walioleta maendeleo duniani, hawamfurahishi mtu, bali wanataka ukweli