Prof. Tibaijuka: Kwa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kujenga ghorofa Kariakoo!

Prof Tibaijuka "agamba". Lakini alivyosema ndio kitu ambacho hata Mimi ninakiona , hata mtaa wa Samora walitakiwa upande moja hasa hasa , ule uliongea Jengo la NHC malengo yote yavunjwe ili barabara iongezwe, na Kwa Kariakoo, Kwa muelekeo huu, itabidi magari yasiingie yasiingie huko, barabara ya Shule ya Uhuru toka clock tower kwenda Hadi Kiwanda cha safari nayo upande moja uvunjwe na nyumba si za NHC , nyingi basi kwakuwa Kwa sasa serikali ndio miliki wake basi wakati ndio huu, na baada ya kuvunja upande moja ndio upande wa pili uruhusiwe, kuongea maghorofa, lakini Kwa Hali ilivyo inaonekana ni uchafu Tu. Na Hali hii pia ilitokea na inaeñdelea kutokea Mwanza, na kuna wakati Mkurugenzi moja wa jiji wakati huo ni Nyumba kama 100 zilikuwa zimejengwa vilimani zivunjwe, ili Mipango mini ifanye KAZI , lakini Makamu wa Raisi wa wakati huo Ndugu John Malecela , akasema Mwanza haina master Plan , hivyo wananchi waachwe. Matokeo yake wananchi wasio shirikiana kimawazo na kimatendo wanategemea Mipango mini Yao. Na sirikali Kwa Darisalamu, hawa Mipango wa mji wa Darisalamu uweje siku zijazo, zaidi ya kusema kariakoo iwe biashara masaa 24. Na kuna mwingine kwenye Ile barabara ya Shekilango kuelekea simu2000, Jirani na Shule ya Mugabe, kapewa eneo kujenga Jengo la ghorofa na pale ni kwenye Kona kuhitajika, kuongeza upana wa Barabara ni shughuli. Na yote haya Yana fanyika tukiwa na mawaziri au viongozi ambao wameona nchi za wenzetu, na tuna wafanyakazi waliosoma wengi kuliko ilivyokuwa hapo awali lakini hawakupenda Kujaribu Mipango miji.
 
Badala ya kuhamasisha uokoaji,amekalia kukosoa wakati alikuwa waziri husika,ni unafiki.hivi anajua bei ya plot kariakoo, utanunua viwanja vingapi na kwa bei gani ili uweze kupata lowdensity na uwekezaji gani utakaorudisha uwekezaji huo.sometimes tusiwe wajuaji against uhalisia, Manhatan imejengwa kwenye low density? Ujenzi wa maghorofa ni swala la kitaalam, Burj khalifa lina ghorofa karibu 200 limetumia sqm ngapi? Muhimu ni kuwekeza kwenye ukaguzi wa mara kwa mara wa mjenzi na ujenzi husika unapofanyika ili kijengwe kilichobora kulingana na design na Boq, pia athari za kimazingira na kwa majengo mengine
 
Kariakoo takataka sana tu

Ova
 
Prof kituo cha mafuta ulichojaribu kukizuia naona kimeeanza kazi muda tu 😄


Ova
 

Attachments

  • 20241114_162013.jpg
    271.3 KB · Views: 2
Sio Kariakoo tu. Mji mzima ni takataka. Manzese, Magomeni, Tandika, Masaki n.k. kote kunafanana.
Amandla...
Unaona hapo mwamba marehemu kanji aliposimamisha gorofa hilo aliuaaa nyumba 5....
Aliwahamisha watu 5 bila ubishi
Syo hao wakinga sjui wachaga wanaojenga nyumba za kizushi
Huko kko na kwengineko kwa baadhi ya wanaojenga

Ova
 

Attachments

  • 20241117_084643.jpg
    555.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…