Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha Kiswahili, sio wahanga ni waathirikaMbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa
Nimeogopa sana Kwa yale maghorofa ya Kikinga yaliyojaa Kariakoo na Manzese
Baadae Mlale unono 🐼
----
POLENI WAHANGA WA GHOROFA lililoanguka ila Ujenzi wa maorofa Kariakoo. NI JANGA KAMA LA JANGWANI.
Kwa sheria za mipango miji ilitakiwa viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kipatikane kiwanja kimoja kikubwa cha kujenga orofa imara yenye basement kubwa kupaki magari. Orofa inayofunguka kwenye mtaa wa mbele na nyuma.
Awali katika awamu ya Tatu Ushauri huo wa watalaamu wa mipango miji ulishapuuzwa na viongozi kwa presha ya wawekezaji kwa hiyo maorofa Kariakoo na kwingineko yanajengwa kiholela kwenye viwanja visivyokidhi vigezo. Pamoja na madhaifu ya usimamizi wa UJENZI KIUHANDISI Ni vigumu majengo kuwa imara bila kuwa na eneo la kutosha kujenga kitako yaani base foundation stahiki. Naendelea kuhimiza kurekebisha kosa hilo.
Sasa tunavuna hasara kubwa ya upotevu wa mali.. na maisha na fursa za ajira na aibu ya kushindwa kusimamia viwango vya ujenzi Miaka 63 baada ya uhuru.. Tuwaombee wahanga auheni na waliopoteza maisha pumziko la milele.
Naendelea kushauri viwango vya vertical development vizingatiwe kuanzia sasa. Tujisahihishe.
Akili hiyo wanayo sasa? One if the thing nilijifunza wkt baddo sijatoka huko ni kwamba most of gov institution hazifanyii kazi past data. Due t political influence wataanza upya.Na hakukuwa na haja ya kuunda tume nyingine ya watu 19.. Wan at I kuna tume ilishaundwa na EL na zile findings zote za ile tume hazijawahi kufanyiwa kazi na ndio hizohizo za sasa
Wangeanzia na tume ya EL kama kweli wani serious
Ghorofa la Chang'ombe.Na hakukuwa na haja ya kuunda tume nyingine ya watu 19.. Wan at I kuna tume ilishaundwa na EL na zile findings zote za ile tume hazijawahi kufanyiwa kazi na ndio hizohizo za sasa
Wangeanzia na tume ya EL kama kweli wani serious
Tume juu ya tume?Inabidi iundwe tume ya kuchunguza hizi tume zinazoundwa kuchunguza matukio halafu matukio hayo yanajirudiarudia