chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka kwa Mungu.
Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba aombewe. Je, hawajui kwamba alikuwa mtu wa Mungu, na kwake kifo isingekuwa adhabu?
Cc: Wana S-Gang
Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba aombewe. Je, hawajui kwamba alikuwa mtu wa Mungu, na kwake kifo isingekuwa adhabu?
Cc: Wana S-Gang