Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Hujui alikumbwa na madhira gani kwahiyo mkwara wa namna hiyo hauwezi kumbadilisha msimamo ndugu mchangiaji. Si unajua kipindi ile mengi yalikuwa yanatokea.Yaani siku akifa mtu wako wa karibu mtoto, baba yako, mama yako, kaka yako, mdogo wako basi furahia pia hicho kifo, na hii kitu ikukae kichwani kila unapopata msiba kumbuka kuwa ulifurahia kifo cha Dkt Magufuli na ujilinganishe na familia ya Dkt Magufuli.