Pumbavu sana huyu mvuta bangi...kwanza ajifunze kuoga amezidi uchafu....mambo ya Tz yanamuhusu nini?...wao waendelee kupigania unga ushuke bei na server za IEBC zifunguliwe kwa sababu kwa akili zao Odinga alishinda....Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka kwa Mungu.
Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba aombewe. Je, hawajui kwamba alikuwa mtu wa Mungu, na kwake kifo isingekuwa adhabu?
Cc: Wana S-Gang
View attachment 2594082
Jadili mada Sasa, FUTA povu kwenye lipsPumbavu sana huyu mvuta bangi...kwanza ajifunze kuoga amezidi uchafu....mambo ya Tz yanamuhusu nini?...wao waendelee kupigania unga ushuke bei na server za IEBC zifunguliwe kwa sababu kwa akili zao Odinga alishinda....
Jamaa anatafuta kiki kiboya sanaProf. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka kwa Mungu.
Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba aombewe. Je, hawajui kwamba alikuwa mtu wa Mungu, na kwake kifo isingekuwa adhabu?
Cc: Wana S-Gang
View attachment 2594082
Uongo huo, Marekani haina wivu na maendeleo ya afrikaAlikasirisha Marekani, hawataki kusikia Kuna nchi ya Africa inataka kujitegemea
Tza ni east africa zinategemeanaPumbavu sana huyu mvuta bangi...kwanza ajifunze kuoga amezidi uchafu....mambo ya Tz yanamuhusu nini?...wao waendelee kupigania unga ushuke bei na server za IEBC zifunguliwe kwa sababu kwa akili zao Odinga alishinda....
Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka kwa Mungu.
Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba aombewe. Je, hawajui kwamba alikuwa mtu wa Mungu, na kwake kifo isingekuwa adhabu?
Cc: Wana S-Gang
View attachment 2594082
Yaani siku akifa mtu wako wa karibu mtoto, baba yako, mama yako, kaka yako, mdogo wako basi furahia pia hicho kifo, na hii kitu ikukae kichwani kila unapopata msiba kumbuka kuwa ulifurahia kifo cha Dkt Magufuli na ujilinganishe na familia ya Dkt Magufuli.Yuko sahihi, kazi ya Mungu haina makosa.
Sio Rais wetu sema aliyekuwa Rais na Marehemu hachezewi maana hasikii wala hajibu jambo lolote.Kama ni kweli aombe msamaha sasa hivi. Rais wetu hayati JPM siyo wa kuchezewa na wavuta bangi wajinga kama wajakonya.