Prof. Wajackoya: "kuna watu wamemkasirisha Mungu, watakufa kama Magufuli"

Hujui alikumbwa na madhira gani kwahiyo mkwara wa namna hiyo hauwezi kumbadilisha msimamo ndugu mchangiaji. Si unajua kipindi ile mengi yalikuwa yanatokea.
 
Yeye naye alishakufa pia?
 
mwishowe yalimkuta yakumkuta 😹
Na ndiyo maana uansoma History huku ukiishia kuwasifu waliosimamia misimamo yao kama wakina Karl Max, Lumumba etc lakin kujifunza kwako unaona kama yuke mjinha tu! Unahisi tunafail wapi kuamini vya kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…