Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hahahaha yule anaitwa the guerrilla professor ,Mzee mmoja poaRoho imeniuma sana sababu nlishawahi pata lectures zake nikiwa udsm miaka hiyo na jamaa zangu wawili wamo humu. Miaka hiyo nafanya masters. Prof alikuwa na madini sana na tulimpenda.sema tu alianza naye kuingiwa na tamaa...otherwise angebak udsm aendelee kupiga pindis mbalimbali za historia na siasa pia.
Halafu wakileta thread zao hawa watoto wa juzi wanauka mkojo humu JF wanajifanya wajuaji kuwazidiIla humu JF watu wamekula chumvi balaa
Hahahaha, hawarudii tenaHalafu wakileta thread zao hawa watoto wa juzi wanauka mkojo humu JF wanajifanya wajuaji kuwazidi
Hasa ya Magonjwa MtambukaLakini michango yao humu JF ni kama watoto wa Chekechea huku mavuz* yao yameshaota mvi.
BuniaVipi msiba Upo pale kwake Mikocheni B ?
Bullshit.Jackass.
Prof wa kitambo alikuwa anasikika sana BBC!!
Mbona husemi UDSM walimuingiza cha kike walipo mtoa marekani alipokua anafundisha kwa mshahara mzito na kumleta Mlimani kwao? Huyu mwamba mara ya mwisho nilimuona 1997 Kisangani alikua na walinzi kibao utadhani makamu wa raisi! Atakumbukwa kwa kua miongoni mwa viongozi wa makundi ya waasi yaliowatesa wakongomani baada ya kuhitilafiana na Kabila.huyu prof huyu, waganda walimwingiza cha kike wakimtoa UDSM alipokuwa akifundisha na kumpeleka kwenda kuongoza uasi dhini ya Kabila, mwisho wa siku Wanyarwanda waka m-snitch, akadondokea pua na wafadhiri wake wakamtosa….RIP mwanazuoni
Dull-witted dumbass.Poppycock.
Kumbe nawe umepita Uds.R.I.P Pof.
Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Kitambo.Kumbe nawe umepita Uds.
Humu kuna mababa wa vijana wengi group hiliIla humu JF watu wamekula chumvi balaa
Kumbe nawe umepita Uds.
Unataka kubamizwa? Endelea kunibinyia pua.Na ndiyo Mwanafunzi ambaye pamoja na kupitia hapo UDSM na ' Kujionyesha ' Kwake kote huku ameacha Rekodi yake ya kuwa na GPA ya 1.3.
Cc: Magonjwa Mtambuka
Lunatic asshole.Cockamamie.
Au MtatiroHuyo unaweza kuta ni kabudi,hizi id zinaficha mengi