TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

Mzee Prof Wamba dia Wamba ,mpambanaji enzi za Mobutu enzi hizo ikiitwa Zaire

Katika Second Congo War ,Prof Wamba alikua moja ya kiongozi wa RCD Goma

Nadhani wajuzi watakuja ongezea wasifu wake mwanaharakati ,mpambanaji na mwanasiasa mahiri Africa

R.I.P Prof Wamba , Mzee wangu ,jirani yangu , Pole sana James Wamba

Cc@zitto junior mng'ato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inna Lillahi wainna ilkahu rajiuun.

Prof huyu aisee kuna siku nilipewa jukumu la kuvisaka vitabu vyake alivyotunga kupitia Database za electronic resources.

Eti wanasema kuna Lecturer alivisaka weeee online akavikosa ndipo akaja kwetu nikapewa jukumu hilo nikavipaga vitatu hivi then nikawapa links wavifuatilie wenyewe.

Ila historia yake inavutia na misukosuko mingi alipitia
 
Mzee Prof Wamba dia Wamba ,mpambanaji enzi za Mobutu enzi hizo ikiitwa Zaire

Katika Second Congo War ,Prof Wamba alikua moja ya kiongozi wa RCD Goma

Nadhani wajuzi watakuja ongezea wasifu wake mwanaharakati ,mpambanaji na mwanasiasa mahiri Africa

R.I.P Prof Wamba , Mzee wangu ,jirani yangu , Pole sana James Wamba

Cc@zitto junior mng'ato

Sent using Jamii Forums mobile app
Historia yake niliisoma mwaka jana aisee alipitia mengi sana yani[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom