Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Profesa Wangwe amesema Tume ina nafasi ya kusema ukweli wa yaliyotokea, na baada ya hapo wananchi wawe tayari kusameheana na kusonga mbele.
Aidha, Profesa Wangwe amesema maandamano yamekuwapo hata enzi za Mwalimu Nyerere, hivyo ameiomba Serikali kutoa fursa kwa vijana na wananchi kutoa maoni yao bila vitisho.