Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anapaka butter sana prof hoja yake ni ya kutupa jalalani ni takataka tupu, hapo ni kuwa firm mauwaji yachunguzwe na independent body na wahusika wafikishwe mahakamaniMtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Profesa Wangwe amesema Tume ina nafasi ya kusema ukweli wa yaliyotokea, na baada ya hapo wananchi wawe tayari kusameheana na kusonga mbele.
Aidha, Profesa Wangwe amesema maandamano yamekuwapo hata enzi za Mwalimu Nyerere, hivyo ameiomba Serikali kutoa fursa kwa vijana na wananchi kutoa maoni yao bila vitisho.
Benson Baba yupo?Huyu sasa ndiyo msomi. Ameongea kwenye uhalisia. Siyo yule mchumia tumbo Benson Bana.
TBC1? Hawajakata matangazo kweli? Mtangazaji hajaanza kutetemeka mbele ya camera? Warioba atakuwa ameshtushwa sana na hili na pengine akatafuta namna ya kulifunikaMtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Profesa Wangwe amesema Tume ina nafasi ya kusema ukweli wa yaliyotokea, na baada ya hapo wananchi wawe tayari kusameheana na kusonga mbele.
Aidha, Profesa Wangwe amesema maandamano yamekuwapo hata enzi za Mwalimu Nyerere, hivyo ameiomba Serikali kutoa fursa kwa vijana na wananchi kutoa maoni yao bila vitisho.
Tume imeingia kazini ikiwa na majibu.Mtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana.