Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika mahojiano yake na mwandishi Khalifa wa The Chanzo, Prof Tibaijuka alitetea serikali mbili akirejea kuvunjika kwa muungano wa USSR baada kuanzishwa serikali ya Urusi na kudai ilidhoofisha muungano wa USSR.
Huu sio kweli, serikali ya Urusi iliyoundwa mwaka mmoja 1990 kabla ya USSR kuvunjika rasmi 1991 haikuchangia chochote kuanguka kwa shirikisho la USSR.
Aguko la USSR lilianza taratibu muda mrefu sana na mambo makuu yaliyosababisha anaguko lake
1. Hali mbaya ya uchumi iliyopelekea ugumu mkubwa wa maisha kwa raia
2. Siasa za vita baridi ambapo Marekani iliwashinda USSR kijasusi, siasa na uchumia.
3. Majaribio ya mabadiliko ya kuleta demokrasia USSR ya Gobrachev ambayo yalipingwa na tabaka tawala na Wahafidhina na kusababisha mvurugano mkubwa wa kisiasa.