Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahahahahah!!!!Kama kuandika kweli kweli inakushinda huwezi kumuelewa Prof
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahahahah!!!!Kama kuandika kweli kweli inakushinda huwezi kumuelewa Prof
Kwa sababi Magu alikuwa katili asiyetaka kuambiwa makosa yake.Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Huyu mpuuzi tu,Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha wawakilishi wa wananchi.
Hayo yameelezwa na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Musa Assad ambaye amesema mchakato huo ulihusisha Baraza la Mawaziri na Makatibu wakuu huku Bunge likiwekwa pembeni.
Akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Mtandao wa Asasi za kiraia uliojikita katika kuchagiza uwajibikaji kwenye uziduaji (Hakirasilimali) katika wiki ya Azaki inayofanyika mjini Dodoma.
Amesema Serikali imeuza nyumba hizo na mchakato ulikuwa ni baraza la mawaziri wakishauriwa na makatibu kutengeneza waraka na kupeleka kwa Rais ili akubali kuuza nyumba hizo.
“Nani kakuruhusu? Ni mawaziri na makatibu wakuu. Kwanini halizungumzwi sasa jambo hilo. Lingekuwa wazi tungesema hilo haliwezekani lakini tumekaa kimya na hakuna mtu ambaye amesema hili jambo lazima lirudi bungeni tulizungumze ili tutoe ruhusa maalum jambo hili lifanyike ama lisifanyike,” amesema Profesa Assad
Chanzo: Mwananchi
Hizo nyumba ziliuzwa enzi za Mkapa na JK waziri hana mamlaka ya kuuza chochote bila idhini ya mkuu wa nchi.Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha wawakilishi wa wananchi.
Hayo yameelezwa na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Musa Assad ambaye amesema mchakato huo ulihusisha Baraza la Mawaziri na Makatibu wakuu huku Bunge likiwekwa pembeni.
Akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Mtandao wa Asasi za kiraia uliojikita katika kuchagiza uwajibikaji kwenye uziduaji (Hakirasilimali) katika wiki ya Azaki inayofanyika mjini Dodoma.
Amesema Serikali imeuza nyumba hizo na mchakato ulikuwa ni baraza la mawaziri wakishauriwa na makatibu kutengeneza waraka na kupeleka kwa Rais ili akubali kuuza nyumba hizo.
“Nani kakuruhusu? Ni mawaziri na makatibu wakuu. Kwanini halizungumzwi sasa jambo hilo. Lingekuwa wazi tungesema hilo haliwezekani lakini tumekaa kimya na hakuna mtu ambaye amesema hili jambo lazima lirudi bungeni tulizungumze ili tutoe ruhusa maalum jambo hili lifanyike ama lisifanyike,” amesema Profesa Assad
Chanzo: Mwananchi
Sasa hayupo, na uzuri wake hata akipokuwepo Assad alikuwa anamchana tuu yeye pamoja na Subuufa [emoji12][emoji12][emoji23]Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Yaani kuna mtu pale mjengoni anazidi kufura kama kifutu akimsikia huyu mwamba [emoji12][emoji12][emoji12]Jamaa anazidi kukinukisha tu.
Huyu Prof huwa ananichanganya kweri kweri. Kwahiyo leo unataka Bunge Dhaifu na Mazuzu yashirikishwe? Au ndio ku "bow down" kumeanza baada ya "hali ngumu" mtaani?
Mimi nimepita bila kupingwa mara mbili!!! Nimechaguliwa na watu laki nne!! Halafu unaniita ZUZU mimi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23] alisikika mtu mmoja hukooo nyikani..Ana haki ya kuliita Bunge DHAIFA la MAZUZU
Na aliposimamishwa pale Ikulu aongee unakumbuka alisema nini?! Huyu ni jasiri wa mabua tu naye.Acha upuuzi ewe maamuma.. huyo magu wenu mnadhani alikuwa Mungu.. kila kitu kisemwe.
- Ule wizi wa 1.5trilion kipindi cha Shujaa wenu, aliusemea kipondi cha Nyerere?
Pale ulitaka ajibu nini? Na namna swali lilivyoulizwa? Suala la msingi kwenye vitabu vya audit huo ubadhirifu alishauonyeshaNa aliposimamishwa pale Ikulu aongee unakumbuka alisema nini?! Huyu ni jasiri wa mabua tu naye.
Aliogopa kutumiwa wasiojulikana, kila mtu anaipenda roho yake dingiiHuyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Huyo ndio UZUZU kumtandika bakora ya kichwa mwana ccm mwenzakoMimi nimepita bila kupingwa mara mbili!!! Nimechaguliwa na watu laki nne!! Halafu unaniita ZUZU mimi [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23] alisikika mtu mmoja hukooo nyikani..
Dogo nataka nidukue account yako ya cyptol Bitcoin nikuibie. Naona unaivest halafu unataka kutupiga humu jamviniHujui muzoga muzogo ndio wanadunda town....lengo ni kwamba legacy ya papa mukulu inakuwa kama tambala la dekio
Mi nafikiri hapo anataka kumuonyesha anayesema yeye sio zuzu aanzekuona hoja ya uzuzu inapoanzia.Huyu Prof huwa ananichanganya kweri kweri. Kwahiyo leo unataka Bunge Dhaifu na Mazuzu yashirikishwe? Au ndio ku "bow down" kumeanza baada ya "hali ngumu" mtaani?
Kosa moja halihalalishi kosa lingine.Huyu mpuuzi tu,
Aliponunua nyumba za nssf tanga akiwa mjumbe wa Bodi ya wadhamini wa nssf na hakujua taratibu hazikufatwa???
Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Angejibu kile alichokiandika..Pale ulitaka ajibu nini? Na namna swali lilivyoulizwa? Suala la msingi kwenye vitabu vya audit huo ubadhirifu alishauonyesha
Ndugu,Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake