Majukumu hayo ni yaliyo ndani ya kada husika, nesi umfanye kuwa mwalimu eti kisa mkataba unasema na majukumu mengine utayopangiwa. Reasoning ya wapi hiyo bwana raslimali watu ?Nimekuambia soma kipengele kinachosema kupangiwa kazi nyingine yeyote na mwajiriwa wako katika mktataba wako. Kazi nyingine yeyote unafikiri maana yake nini? Ni kazi yeyote unayoweza kuifanya kwa manufaa ya taasisi ikiwa itabidi iwe hivyo. Inaweza kuwa nje ya eneo la kazi uliyoajiriwa, lakini kama utaweza kuifanya utapangiwa. Suala ni kwamba haipaswi kuathiri mshahara na benefits zako
Mkataba Wa kazi wa huyo dereva uliuona ? Hadi useme Kuna kipengele cha kupangiwa kazi yeyote? .. Tusigeneralize mikataba au mambo .. Tuongee kitu katika uhalisia unafanyaje kazi sio yako ..Nimekuambia soma kipengele kinachosema kupangiwa kazi nyingine yeyote na mwajiriwa wako katika mktataba wako. Kazi nyingine yeyote unafikiri maana yake nini? Ni kazi yeyote unayoweza kuifanya kwa manufaa ya taasisi ikiwa itabidi iwe hivyo. Inaweza kuwa nje ya eneo la kazi uliyoajiriwa, lakini kama utaweza kuifanya utapangiwa. Suala ni kwamba haipaswi kuathiri mshahara na benefits zako
SahihiAkiendelea kumlipa dereva ambae hafanyi kazi kwa sababu idara ina madereva wengi kuliko magari, huo ndio uhujumu uchumi. Ndio maana Tanzania inafeli sana. Tuna viongozi wa aina yenu ambao wanaona ni sawa kuwa na madereva 10 kwenye taasisi yenye magari matatu!
Na hao rasilimali watu waliohusika kwenye hilo waburuzwe mahakamani pamoja na Profesa Assad kwa kutotumia weledi wa fani zao na kuonea huyo dereva professional kumpeleka masjala walitaka akaendeshe mafaili? Yasiyo na usukani wala break?Majukumu hayo ni yaliyo ndani ya kada husika, nesi umfanye kuwa mwalimu eti kisa mkataba unasema na majukumu mengine utayopangiwa. Reasoning ya wapi hiyo bwana raslimali watu ?
Uko sahihi mia kwa miaMkataba Wa kazi wa huyo dereva uliuona ? Hadi useme Kuna kipengele cha kupangiwa kazi yeyote? .. Tusigeneralize mikataba au mambo .. Tuongee kitu katika uhalisia unafanyaje kazi sio yako ..
Dereva aende masjala .. ?
Akiboronga huko masjala utatumia taratibu zipi za kumhoji au miongozo ipi ya taaluma yake ikiwa sio taaluma yake..
Au Hamtaki kuona mtu amekaa kaa tu mnamfanyisha kazi zisizo zake.. Mmeshindwa nini kuajiri mtu wa masjala hadi Dereva aende hapo huoni unabania kazi za watu au waliopo masjala hawatoshi?..
Bora awe anakuja anakosa gari ili mpate akili ya kutafuta gari.. Kwanza ni kosa la kiutawala kuleta watumishi wengi kuliko rasilimali zilizopo
100% correctWewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
What????? Unajua maana ya kuajiriwa kwa proffession yako?Kwani dereva hakuwa na ujuzi wa kufanya kazi hapo.
Wapo wafanyakazi hawasaidiani kazi wakihitajika kwa wenzao?
Umechemsha jionee aibu.
Hiyo ina apply huko kwenu madrasa labda sio katika ulimwengu wa sasa unaoheshimu proffesionalismWewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
Tulia mawakili wanajipanga kukomesha huo ubwege liwe fundishoOk,mahakama ya kazi?
Bwege sana huyo raslimali watuMajukumu hayo ni yaliyo ndani ya kada husika, nesi umfanye kuwa mwalimu eti kisa mkataba unasema na majukumu mengine utayopangiwa. Reasoning ya wapi hiyo bwana raslimali watu ?
Yule ameshashinda kesi mapemaa,Ngoja kwanza tumalizane na yule prof WA TIA aliempeleka afisa ugavi kuwa librarian
Nimeuliza Hivyo kwa sababu,kama ni issues ya kazi mahakama ya kazi.Tulia mawakili wanajipanga kukomesha huo ubwege liwe fundisho
Haki ya mtu haipotei ikiwemo ya huyo Dereva nyanyasika na Proffessor Assad
Yeye naye ni proffesional kwenye eneo lake la udereva kama ambavyo Proffessor Assad naye ni proffesional eneo lake
Tuliza kichwa ha tu empty kila kitu stay tuned
Popote sio sahihi iwe public, private au religious sectorHiyo alifanya akiwa Muslim University of Morogoro, labda ashitakiwe kwa Sharia 🐒
Jibu hoja matusi ni ishara ya kudiwa.Hopolesi kabisa wewe!
Umewezaje kujua kuandika yote hayo bila kujua vitu vidogo tu. Kwamba hiyo haimaanishi kufanya kazi yoyote bali ni kwenye fani yako bila kuathiri utendaji. Kwa akili zako mhasibu anaweza kupangiwa upasuaji kwa sababu job description inasema na kazi zingine? Ficha undezi mkuuNyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?
Na je, inapotokea dereva hana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala ambayo haina mtu? Kwa sababu option inakuwa ni kumpunguza dereva arudi nyumbani au kumwambia kaa hapa masjala (bila kuathiri mshahara wake) hadi tukiwa na gari nyingine ya ziada, badala ya kuajiri mtu wa masijala wakati kuna mtu hana gari na ni dereva. Mmefikiria hilo au hamjui mambo ya HR management mnalaumu tu?
Nyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?
Na je, inapotokea dereva hana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala ambayo haina mtu? Kwa sababu option inakuwa ni kumpunguza dereva arudi nyumbani au kumwambia kaa hapa masjala (bila kuathiri mshahara wake) hadi tukiwa na gari nyingine ya ziada, badala ya kuajiri mtu wa masijala wakati kuna mtu hana gari na ni dereva. Mmefikiria hilo au hamjui mambo ya HR management mnalaumu tu?
Wewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
Hakuna mahali pasipo na unyeti.Masijala ni sehemu nyeti sana kumpeleka dereva mule ni kupafungua na kukiuka mipaka ya masijala. Kwanza aliapa wapi kutunza siri za mule na je alikua na taaluma ya kutunza document za siri?
Kama itakupendeza naomba CV ya Waziri wa Afya wa sasaProffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu