Profesa Assad ashtakiwe kwa kukiuka maadili akiwa ofisini. Alimpeleka dereva kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Nimekuambia soma kipengele kinachosema kupangiwa kazi nyingine yeyote na mwajiriwa wako katika mktataba wako. Kazi nyingine yeyote unafikiri maana yake nini? Ni kazi yeyote unayoweza kuifanya kwa manufaa ya taasisi ikiwa itabidi iwe hivyo. Inaweza kuwa nje ya eneo la kazi uliyoajiriwa, lakini kama utaweza kuifanya utapangiwa. Suala ni kwamba haipaswi kuathiri mshahara na benefits zako
Majukumu hayo ni yaliyo ndani ya kada husika, nesi umfanye kuwa mwalimu eti kisa mkataba unasema na majukumu mengine utayopangiwa. Reasoning ya wapi hiyo bwana raslimali watu ?
 
Mkataba Wa kazi wa huyo dereva uliuona ? Hadi useme Kuna kipengele cha kupangiwa kazi yeyote? .. Tusigeneralize mikataba au mambo .. Tuongee kitu katika uhalisia unafanyaje kazi sio yako ..

Dereva aende masjala .. ?

Akiboronga huko masjala utatumia taratibu zipi za kumhoji au miongozo ipi ya taaluma yake ikiwa sio taaluma yake..

Au Hamtaki kuona mtu amekaa kaa tu mnamfanyisha kazi zisizo zake.. Mmeshindwa nini kuajiri mtu wa masjala hadi Dereva aende hapo huoni unabania kazi za watu au waliopo masjala hawatoshi?..

Bora awe anakuja anakosa gari ili mpate akili ya kutafuta gari.. Kwanza ni kosa la kiutawala kuleta watumishi wengi kuliko rasilimali zilizopo
 
Akiendelea kumlipa dereva ambae hafanyi kazi kwa sababu idara ina madereva wengi kuliko magari, huo ndio uhujumu uchumi. Ndio maana Tanzania inafeli sana. Tuna viongozi wa aina yenu ambao wanaona ni sawa kuwa na madereva 10 kwenye taasisi yenye magari matatu!
Sahihi
 
Majukumu hayo ni yaliyo ndani ya kada husika, nesi umfanye kuwa mwalimu eti kisa mkataba unasema na majukumu mengine utayopangiwa. Reasoning ya wapi hiyo bwana raslimali watu ?
Na hao rasilimali watu waliohusika kwenye hilo waburuzwe mahakamani pamoja na Profesa Assad kwa kutotumia weledi wa fani zao na kuonea huyo dereva professional kumpeleka masjala walitaka akaendeshe mafaili? Yasiyo na usukani wala break?
 
Mkataba Wa kazi wa huyo dereva uliuona ? Hadi useme Kuna kipengele cha kupangiwa kazi yeyote? .. Tusigeneralize mikataba au mambo .. Tuongee kitu katika uhalisia unafanyaje kazi sio yako ..

Dereva aende masjala .. ?

Akiboronga huko masjala utatumia taratibu zipi za kumhoji au miongozo ipi ya taaluma yake ikiwa sio taaluma yake..

Au Hamtaki kuona mtu amekaa kaa tu mnamfanyisha kazi zisizo zake.. Mmeshindwa nini kuajiri mtu wa masjala hadi Dereva aende hapo huoni unabania kazi za watu au waliopo masjala hawatoshi?..

Bora awe anakuja anakosa gari ili mpate akili ya kutafuta gari.. Kwanza ni kosa la kiutawala kuleta watumishi wengi kuliko rasilimali zilizopo
Uko sahihi mia kwa mia
 
Wewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
100% correct
 
Kwani dereva hakuwa na ujuzi wa kufanya kazi hapo.

Wapo wafanyakazi hawasaidiani kazi wakihitajika kwa wenzao?

Umechemsha jionee aibu.
What????? Unajua maana ya kuajiriwa kwa proffession yako?

Mfano yeye Assad ana leseni ya udereva huwa anaendesha gari zake

Kwa hiyo siku Raisi kaamka vibaya aseme kuanzia leo wewe sio CAG utakuwa kazi yako udereva kuendesha gari la bosi wa masjala wa ofisi ya CAG
 
Wewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
Hiyo ina apply huko kwenu madrasa labda sio katika ulimwengu wa sasa unaoheshimu proffesionalism
 
Ok,mahakama ya kazi?
Tulia mawakili wanajipanga kukomesha huo ubwege liwe fundisho

Haki ya mtu haipotei ikiwemo ya huyo Dereva nyanyasika na Proffessor Assad

Yeye naye ni proffesional kwenye eneo lake la udereva kama ambavyo Proffessor Assad naye ni proffesional eneo lake

Tuliza kichwa ha tu empty kila kitu stay tuned
 
Nimeuliza Hivyo kwa sababu,kama ni issues ya kazi mahakama ya kazi.
 
Hiyo alifanya akiwa Muslim University of Morogoro, labda ashitakiwe kwa Sharia 🐒
Popote sio sahihi iwe public, private au religious sector

Tena Religious ndiko kubaya sana ni matumizi mabaya ya sadaka za waumini kama kazi ya udereva haipo hastahili kuwepo kazini kupunguzia mzigo waumini wakumgharimia wakati gari hana
 
Nyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?

Na je, inapotokea dereva hana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala ambayo haina mtu? Kwa sababu option inakuwa ni kumpunguza dereva arudi nyumbani au kumwambia kaa hapa masjala (bila kuathiri mshahara wake) hadi tukiwa na gari nyingine ya ziada, badala ya kuajiri mtu wa masijala wakati kuna mtu hana gari na ni dereva. Mmefikiria hilo au hamjui mambo ya HR management mnalaumu tu?
Umewezaje kujua kuandika yote hayo bila kujua vitu vidogo tu. Kwamba hiyo haimaanishi kufanya kazi yoyote bali ni kwenye fani yako bila kuathiri utendaji. Kwa akili zako mhasibu anaweza kupangiwa upasuaji kwa sababu job description inasema na kazi zingine? Ficha undezi mkuu
 
Masijala ni sehemu nyeti sana kumpeleka dereva mule ni kupafungua na kukiuka mipaka ya masijala. Kwanza aliapa wapi kutunza siri za mule na je alikua na taaluma ya kutunza document za siri?
Nyie ni wafanyakazi wa kuajiriwa? Angalia job description ya mkataba wako wa ajira. Je haisemi utafanya kazi hizi, hizi, na point ya mwisho kusema ...na kazi yoyote nyingine utakayopangiwa na mwajiri wako? Sasa tatizo liko wapi?

Na je, inapotokea dereva hana kazi kwa sababu kuna madereva wengi, mnataka alipwe bila kufanya kazi, wakati labda kuna nafasi kwenye masijala ambayo haina mtu? Kwa sababu option inakuwa ni kumpunguza dereva arudi nyumbani au kumwambia kaa hapa masjala (bila kuathiri mshahara wake) hadi tukiwa na gari nyingine ya ziada, badala ya kuajiri mtu wa masijala wakati kuna mtu hana gari na ni dereva. Mmefikiria hilo au hamjui mambo ya HR management mnalaumu tu?
Wewe ni tahira
Tahira
Tahira
Tahira.
Kuna sehemu kwenye mkataba wa ajira wameandika duties na wameongeza kuwa utafanya duties zingine utakazopangiwa na mwajiri au msimamizi wako.
Ukiwa mshenzi watu wanakunyoosha. Kakae masijala uonje joto la jiwe.
Mimi nimekuwa kwenye utumishi wa umma mwaka wa 9 sasa, nimeona watumishi wengi tu wako kwenye ofisi tofauti na kada walizosomea na mambo yanakwenda vizuri tu.
Kazini kwetu kuna mtu wa record yuko Accountancy, yupo security kapangiwa Accountancy, yupo technician wa electrical yuko Accountancy. Acheni kukuza vitu.
Wakiwa kwenye ofisi zingine wao hawawi wakuu wa vitengo bali watafanya sub duties na kazi zinaenda vizuri kabisa
 
Masijala ni sehemu nyeti sana kumpeleka dereva mule ni kupafungua na kukiuka mipaka ya masijala. Kwanza aliapa wapi kutunza siri za mule na je alikua na taaluma ya kutunza document za siri?
Hakuna mahali pasipo na unyeti.
Huyo dereva kama ni mtumishi lazima amekula kiapo cha utii na kutunza Siri za serikali. Acheni kutukuza mambo.
Vipi mbunge ambaye sifa kujua kusoma tu anawezaje kutunga Sheria za nchi kwaajili ya Watanzania zaidi ya milioni 60?
Kamasijala cha ofisi moja tu kana unyeti gani zaidi ya Bunge ambalo linatunga Sheria za nchi?
Mngekuwa mna ufahamu mngeishinikiza serikali kuwa mbunge yeyote awe amesoma shahada ya Sheria au awe na shahada ya pili ya fani yoyote.
Kwanza hiyo kozi ya record management unajua imeanza lini hapa Tanzania?
Je, kabla ya hiyo kozi ya record masijala hapakuwa na watu?
 
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake

Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili za viongozi yanayozingatia proffession za mhusika dereva aburuzwe tume ya maadili na mahakamani hata kama kastaafu
Kama itakupendeza naomba CV ya Waziri wa Afya wa sasa
 
Dereva kama magari ya kuendesha hamna mnataka kusema akae tu angojee mshahara ?

Profesa yuko sawa tu, dereva kwenda masijala iko sawa, tena qualification zinaingiliana.

Ofisi fulani mhudumu aliwahi kuwa dereva, kulikuwa na upungufu naye akawa na leseni wakampa test akafaa akawa reallocated.
 
Back
Top Bottom