musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au kaelimika?
Mtu mwenye digrii mbili(masters),anaehangaika na michepuko,wake za watu,anaenda kununua Malaya, anatembea na watoto wa shule...anadanga,antibacterial wame za watu nk....huyu ameelimika au ana vyeti?
Mtu mwenye digrii,anafakamia pombe kama nguruwe,ikifika jtatu anakuwa hoi ni kama ametoka wodini,mshahara wake asilimia 100 ni starehe na anasa....huyu ameelimika au ana vyeti?
Mtu mwenye digrii/masters alieshindwa kujua kama ndoa/Familia ni msingi mara kwa jamii iliyo njema,na anakazia "Kataa ndoa"ameelimika?
Mtu anajivuna yeye ni profesa au nani nani msomi nk anaamua kuwa chawa wa mtu kwa ajili ya turbo,anaogopa kusimamia ukweli...utamsikia mitano tena...tunaenda na huyu...nk bila hoja ya msingi ...huyu ame elimika?
Mtu ambaye anapata elimu katika taasisi za juu kama vyuo vikuu ,anaanzisha uzi wa "kula tunda kimasihara"...kuiba wake za watu nk....huyu kaelimika?
Mtu ambaye anadai ana elimu,anajua sheria zote za fifa na ni mdau mzuri wa Simba na Yanga,lakini yakija masuala nyeti kama ya katiba na kutetea maslahi ya nchi ,anasema mimi siasa nishaiweka pembeni...ameelimika?
Je wewe unaesoma hii thread ume elimika