TANZIA Profesa Augustine Massawe, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto afariki dunia

Bwana alitoa,bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
 
Mlimwita 'mjinga/nchi inaongozwa na washamba' kwa maamuzi ya kuhimiza kumtegemea Mungu kwanza na mengineyo. Ngoja tuwaone wajanja wa kutegemea akili zao na si Mungu watakapo tufikisha kama Taifa.
Sasa hivi watu wanajiendea tu! Hamna msisitizo wa barakoa wala sanitizer. Madaladala yanajaa hamna tahadhari yoyote
 

Upumuaji tena????​

 
Kwamba ulkua unatudharau madaktari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
 
Dr. Umechanjwa??
 
Nilipokuwa Moshi Sec. Form one,Dr. Massawe alikuwa form three.(1966)
Katika dormitory( tulikuwa boarding school),Massawe alikuwa kitanda cha pembeni yangu.

Huu msiba umegusa watu wengi sana. Pole kioekee kwako mkuu.

Lakini inabidi tuwaombe JF upewe cheo maalum. Distinguished. Ukute na yeye tulikua nae hapa jukwaani bila kujua.
 
How does this related to siasa? Mods peleka huu uzi hoja mchanganyiko
 


Inabidi tuache unafiki na tutumie jina Corona tatizo la upumuaji ni ugojwa gani!. Watu wengi wanakufa kwasababu ya uongo na kufikiri hakuna ugojwa
 
Sasa hivi watu wanajiendea tu! Hamna msisitizo wa barakoa wala sanitizer. Madaladala yanajaa hamna tahadhari yoyote

Msisitizo umehamia kwenye chanjo ambayo na yenyewe kwanza haitoshi watu wote na watengenezaji wanahofia asilimia za uwezo wake kupungua kiasi cha kufikiria kuwapa watu chanjo nyingine booster.

Tahadhari muhimu sana, Mungu ana sehem kubwa sana ikiwa tutampa nafasi yake na sie tukafanya kwa sehem yetu.
Sasa tumebadili hata salam, hatutaji Mungu ila jina la jamhuri ya muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…