TANZIA Profesa Augustine Massawe, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto afariki dunia

Nilipokuwa Moshi Sec. Form one,Dr. Massawe alikuwa form three.(1966)
Katika dormitory( tulikuwa boarding school),Massawe alikuwa kitanda cha pembeni yangu.
Shikamoo yako mkuu,dah mi nilidhani jamii forum tulio humu wengi ni sie vijana na watoto wa shule,kumbe kuna wazee ambao ni lika sawa la baba zetu......Uwe unatupa hekima na busara pale unapoona watoto wanaichafua jamii forum
 
Nilipokuwa Moshi Sec. Form one,Dr. Massawe alikuwa form three.(1966)
Katika dormitory( tulikuwa boarding school),Massawe alikuwa kitanda cha pembeni yangu.
Unaweza kukumbuka kama ilikuwa Hanang, Kibo, Shengena au mawenzi?
 
Lord have mercy on us, huyu dr. nlikua namskia tu. Mungu amrehemu.
 
Pole sana Rafiki wangu john Kwa kuondokewa na baba yako Mungu ampumzishe kwema
 
RIP doctor. dr. massawe Mwenyezi Mungu Akuweke mahali pema ameen.
always My Top List doctors.
1. Massawe Rip
2. Dr. Ekenywa Rip
3. Dr Kundi
 
Yule Daktari Bingwa wa watoto Prof Massawe amefariki Dunia leo asubuhi.
Mwenye Furaha Medical

RIP MPENDWA SANA PROF MASSAWE

Huyu nakumbuka mtoto anaugua ukifika kwanza anakutuliza mzazi, anakuuliza, anacheza na mtoto anampima, halafu hakuandikii tu dawa, anakueleza kwanza tatizo nini, unawezaje kuzuia, anakupa dawa unaondoka na amani hata kama ulikuja saa sita mchana yeye akaingia saa mbili usiku. RIP Dr wa kweli.
 
Kwa huu mwendo unavyoenda, kila siku vipanga wanavyoondoka, muda si mrefu tutabakiwa na vilaza wa chadomo tu huku mitaani.
kama wewe ulivyo kilaza, kwani hatukujui πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mtoto mkubwa wa marehemu Dk Furaha Augustine amesema baba yake alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upumuaji.
Naanza kuogopa kama Muhimblili wameshindwa kuokoa maisha yake basi tujiweke tayari na corona. Upumuaji itakuwa ni corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…