Profesa Baregu afunguka sakata la Membe na 2020

Profesa Baregu afunguka sakata la Membe na 2020

Profesa Baregu ameeleza kuwa sakata hilo linatoa fursa chanya kwa kambi ya upinzani endapo halitatafutiwa ufumbuzi mapema, kwani inaonesha dhahiri kuwa ndani ya CCM bado kuna makundi.

“Membe [wa Twitter] amejibu vizuri kidiplomasia. Ila naona huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM ni kama kuna makundi sasa. Mambo yanaweza kuwa magumu kwa CCM kwa sababu wanaweza kupata mgombea ila asiungwe mkono na wanachama wake wakachukua hatua,” amesema Profesa Baregu


The same music danced in 2015
...watatifuana kama kawa
...watagawanyika
...watasukuma mtu ndani
...chombo kitayumba
...chama chetu kitaibuka mshindi iwe isiwe
 
Success is measured in outcome na sio porojo za wanasiasa

Magu ni level nyingine muda mfupi aliotumikia nafasi yake mafanikio na utendaji wake wa kazi unapimika na hakuna kiongozi zaidi yake kwa sasa anaefaa kulisogeza gurudumu la maendeleo.

Penye mapungufu nadhani yeye anabeba asilimia ndogo sana za lawama (na anayo tena yenye kuzua mijadala kila siku), ila ukweli wenyewe ni kwamba asilimia zilizobaki ya sababu zinazofanya wengine wasimuelewe zinaenda kwa timu yake ya ufundi hawa jamaa ndio watu wa ovyo sana as political and economy strategists.
 
B-Membe.jpg


Sakata la tuhuma dhidi ya Bernard Membe kuanza mapema mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi ujao, lililowekwa wazi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ally limemuibua Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu.

Profesa Baregu ameeleza kuwa sakata hilo linatoa fursa chanya kwa kambi ya upinzani endapo halitatafutiwa ufumbuzi mapema, kwani inaonesha dhahiri kuwa ndani ya CCM bado kuna makundi.

“Membe [wa Twitter] amejibu vizuri kidiplomasia. Ila naona huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM ni kama kuna makundi sasa. Mambo yanaweza kuwa magumu kwa CCM kwa sababu wanaweza kupata mgombea ila asiungwe mkono na wanachama wake wakachukua hatua,” amesema Profesa Baregu.

Dkt. Bashiru amemuita Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Nne na pia alikuwa miongoni mwa waliowania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2015.

Katibu Mkuu huyo wa CCM alimtaka Membe kufika ofisini kwake ili azungumze naye kuhusu tuhuma hizo, akiweka msimamo kuwa njia aliyotumia kumuita kupitia mkutano wake ni njia sahihi kwani hakuna mwanachama mwenye nguvu kuliko chama.

Mwanasiasa huyo amekuwa kimya tangu kumalizika kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Hivi karibuni, alikuwa miongoni mwa makada wakongwe na viongozi wa CCM waliotuhumiwa na Syprian Musiba kuwa wanahujumu chama hicho, akitajwa kuwa anafanya vikao vya chinichini kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020.

Source: Dar24 Profesa Baregu afunguka sakata la Membe na 2020
hatari
 
Hakuna kitu, Membe ataenda na ataonywa ata nyamaza ni mtu ambaye kwa nyazifa zake hawezi kufanya chochote maana anaweza kujitia matatani fasta.
Mkuu kwani wewe unafikiri kuna undergeound movement yeyote BM anafanya...!?Au ni Masisiem yenyewe mmevurugana.!? Jiwe mmelichoka hivyo mnaangalia mwenye afadhali licha ya kwamba nae HAFAI..
 
Una ushahidi wa haya? Fala kama mwigulu jimbo lake ambalo halina maendeleo yoyote wanini? Zitto ni mavi alishawekwa maliwato hawezi rudishwa tumboni napegwa nnauye ana nini zaidi ya kubwata ushafika mtama jimbo baya na lakimaskini kuliko yote?
Weka akiba ya maneno mkuu!
 
Back
Top Bottom