MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji216] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji83]Pumbavu mbwa koko wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji216] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji83]Pumbavu mbwa koko wewe
Kete za upinzani zimekwisha ndiyo maana wanambembeleza nape, mwigulu na Zi
/QUOTE]
Zito anabembelezwa kuingia Upinzani upi ilhali tayari chama chake ni cha Upinzani !!!!
Profesa Baregu ameeleza kuwa sakata hilo linatoa fursa chanya kwa kambi ya upinzani endapo halitatafutiwa ufumbuzi mapema, kwani inaonesha dhahiri kuwa ndani ya CCM bado kuna makundi.
“Membe [wa Twitter] amejibu vizuri kidiplomasia. Ila naona huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM ni kama kuna makundi sasa. Mambo yanaweza kuwa magumu kwa CCM kwa sababu wanaweza kupata mgombea ila asiungwe mkono na wanachama wake wakachukua hatua,” amesema Profesa Baregu
hatari![]()
Sakata la tuhuma dhidi ya Bernard Membe kuanza mapema mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi ujao, lililowekwa wazi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ally limemuibua Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu.
Profesa Baregu ameeleza kuwa sakata hilo linatoa fursa chanya kwa kambi ya upinzani endapo halitatafutiwa ufumbuzi mapema, kwani inaonesha dhahiri kuwa ndani ya CCM bado kuna makundi.
“Membe [wa Twitter] amejibu vizuri kidiplomasia. Ila naona huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM ni kama kuna makundi sasa. Mambo yanaweza kuwa magumu kwa CCM kwa sababu wanaweza kupata mgombea ila asiungwe mkono na wanachama wake wakachukua hatua,” amesema Profesa Baregu.
Dkt. Bashiru amemuita Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Nne na pia alikuwa miongoni mwa waliowania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2015.
Katibu Mkuu huyo wa CCM alimtaka Membe kufika ofisini kwake ili azungumze naye kuhusu tuhuma hizo, akiweka msimamo kuwa njia aliyotumia kumuita kupitia mkutano wake ni njia sahihi kwani hakuna mwanachama mwenye nguvu kuliko chama.
Mwanasiasa huyo amekuwa kimya tangu kumalizika kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Hivi karibuni, alikuwa miongoni mwa makada wakongwe na viongozi wa CCM waliotuhumiwa na Syprian Musiba kuwa wanahujumu chama hicho, akitajwa kuwa anafanya vikao vya chinichini kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2020.
Source: Dar24 Profesa Baregu afunguka sakata la Membe na 2020
Mkuu kwani wewe unafikiri kuna undergeound movement yeyote BM anafanya...!?Au ni Masisiem yenyewe mmevurugana.!? Jiwe mmelichoka hivyo mnaangalia mwenye afadhali licha ya kwamba nae HAFAI..Hakuna kitu, Membe ataenda na ataonywa ata nyamaza ni mtu ambaye kwa nyazifa zake hawezi kufanya chochote maana anaweza kujitia matatani fasta.
Weka akiba ya maneno mkuu!Una ushahidi wa haya? Fala kama mwigulu jimbo lake ambalo halina maendeleo yoyote wanini? Zitto ni mavi alishawekwa maliwato hawezi rudishwa tumboni napegwa nnauye ana nini zaidi ya kubwata ushafika mtama jimbo baya na lakimaskini kuliko yote?