Inabidi kurudi tena shule kusoma kiswahili upyaNdaki=Campus
Barakoa wakati mwingine halina maana yoyote ile,.Ndio huyo ambaye hajavua bakaroa?
Kama condom tu sometimes inazingua tuBarakoa wakati mwingine halina maana yoyote ile,.
Condom ndio vitu gani hivyo eehKama condom tu sometimes inazingua tu
Ni mfuko kidogo kidogo cha kubebea vitu vidogo ukiandaga gulio au kuhemea ila huwezi kukatumiia tena ukishakatumiaCondom ndio vitu gani hivyo eeh
hata nyie makapuku mnaondoka sana ndugu, sema taarifa zenu sio muhimu kuweka humu.Naona Safari hii inaenda Sana na wasomi
Nini inaenda na wasomi? Apumzike kwa amaniNaona Safari hii inaenda Sana na wasomi
Wanazuoni wataisha jamani, sijui linaangaliwaje hili?Sisi wenye age ya 60+ inatakiwa tujitenge kabisa na makundi la vijana na watoto...
Hatuna kinga ya kutosha kuhimili hii kitu inaitwa Changamoto ya Upumuaji..
Tutakwisha...
Walimu wa vyuo hasa mjiangalie saana!!
Vijana na watoto ni cariazi wa changamoto hii...jitenge nao otherwise wafwaaa....mzee mwenzangu!!Wanazuoni wataisha jamani, sijui linaangaliwaje hili?
Everyday is Saturday............................... π
Hahahaha πππNini inaenda na wasomi? Apumzike kwa amani