Profesa Godius Kahyarara: Awamu ya 6 imeingiza dola bilioni 21

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine!

My take:
Kwa hiyo Tanzania ndio inayoongoza kwenye FDI destination in Africa. Sasa hivi tutakuwa tunashinda Asia, Europe na US.
DDBAF43F-1421-46B0-96D2-436AF549DEAD.jpeg
 
Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine...
Kweli ndo maana mama alisema mafuta yana bei nafuu kuliko USA. Huku waziri mwenye dhamana akisema sisi siyo wazalishaji hivyo mfumuko ni lazima ila USA mzalishaji namba 1 duniani anatuzidi bei. Vitu vinachanganya sana
 
Tetesi:
Prof G Kahyarara ateuliwa kua mwenyekiti wa bodi flani huko nchini Afrika mashariki...🤣
 
Kilatha Ecomic diplomacy ni kitu gani? Nisaidie how hiyo diplomatic type inaweza kukuza uchumi wa nchi kwa muda mfupi, naona Pr. kasema tu imeingiza $ bil 21 bila kusema zimeingia kwa njia ipi.
 
Economic diplomacy hiyo tafsiri anaweza ielezea huyo huyo alietoa hiyo statement.

For what is worth on the definition ECONOMIC DIPLOMACY: actors, tools & processes in 2022

Hawa ndio chawa Professor Shivji aliokuwa anawaongelea. $21 billion nadhani ni total ya hizo story za MoU mama anazojitapa nazo.

Hiyo hela akiambiwa aonyeshe ipo wapi nchini, awezi zaidi ya hadithi. J.K kila siku alikuwa ana sign MoU pia enzi zake ndio vitu wanavyoweza jitapa navyo lakini sio tangible investments.

Maana MoU zenyewe zikifika serikalini wataalamu wakianza kuzikagua wanakuta madudu matupu, tukilazimisha investment zenyewe zinaishia kuwa mambo ya Symbion.
 
Kiboko ya maporofesa yanayo jitoa ufahamu ni yule porof Manyele aliyefanya utafiti kule north Mara nadhani kwa kutumia pombe aina ya sute na kubaini kwamba mto Mara unachafuliwa na kinyesi Cha ng'ombe.
Kuna mmoja alisema uchaguzi 2020 ulikua wa haki, juzi juzi akabadili kauli.
 
Yaan mm nilifikiri ni yule yule.Kumbe hawa maprofesa feki ni wengi Sana.
 
Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine!

My take:
Kwa hiyo Tanzania ndio inayoongoza kwenye FDI destination in Africa. Sasa hivi tutakuwa tunashinda Asia, Europe na US. View attachment 2217950
Yes, ndio maana yake.
it will be reflected kwenye chapisho lijalo.
P
 
Economic diplomacy hiyo tafsiri anaweza ielezea huyo huyo alietoa hiyo statement.

For what is worth on the definition ECONOMIC DIPLOMACY: actors, tools & processes in 2022

Hawa ndio chawa Professor Shivji aliokuwa anawaongelea. $21 billion nadhani ni total ya hizo story za MoU mama anazojitapa nazo.

Hiyo hela akiambiwa aonyeshe ipo wapi nchini, awezi zaidi ya hadithi. J.K kila siku alikuwa ana sign MoU pia enzi zake ndio vitu wanavyoweza jitapa navyo lakini sio tangible investments.

Maana MoU zenyewe zikifika serikalini wataalamu wakianza kuzikagua wanakuta madudu matupu, tukilazimisha investment zenyewe zinaishia kuwa mambo ya Symbion.
Thanks, nikajua wachumi mtakuwa mnaelewana kumbe ndio mambo yetu ya siku hizi chawa.
 
Back
Top Bottom