Kweli ndo maana mama alisema mafuta yana bei nafuu kuliko USA. Huku waziri mwenye dhamana akisema sisi siyo wazalishaji hivyo mfumuko ni lazima ila USA mzalishaji namba 1 duniani anatuzidi bei. Vitu vinachanganya sanaProf G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine...
Nakazia ukijipendekezaUteuzi
Economic diplomacy hiyo tafsiri anaweza ielezea huyo huyo alietoa hiyo statement.Kilatha Ecomic diplomacy ni kitu gani? Nisaidie how hiyo diplomatic type inaweza kukuza uchumi wa nchi kwa muda mfupi, naona Pr. kasema tu imeingiza $ bil 21 bila kusema zimeingia kwa njia ipi.
Mimi naishia masters tu, huko mbele ni tatizo.
Nakubaliana na weweUteuzi
Yaan mm nilifikiri ni yule yule.Kumbe hawa maprofesa feki ni wengi Sana.Kiboko ya maporofesa yanayo jitoa ufahamu ni yule porof Manyele aliyefanya utafiti kule north Mara nadhani kwa kutumia pombe aina ya sute na kubaini kwamba mto Mara unachafuliwa na kinyesi Cha ng'ombe.
Kuna mmoja alisema uchaguzi 2020 ulikua wa haki, juzi juzi akabadili kauli.
Yes, ndio maana yake.Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine!
My take:
Kwa hiyo Tanzania ndio inayoongoza kwenye FDI destination in Africa. Sasa hivi tutakuwa tunashinda Asia, Europe na US. View attachment 2217950
Thanks, nikajua wachumi mtakuwa mnaelewana kumbe ndio mambo yetu ya siku hizi chawa.Economic diplomacy hiyo tafsiri anaweza ielezea huyo huyo alietoa hiyo statement.
For what is worth on the definition ECONOMIC DIPLOMACY: actors, tools & processes in 2022
Hawa ndio chawa Professor Shivji aliokuwa anawaongelea. $21 billion nadhani ni total ya hizo story za MoU mama anazojitapa nazo.
Hiyo hela akiambiwa aonyeshe ipo wapi nchini, awezi zaidi ya hadithi. J.K kila siku alikuwa ana sign MoU pia enzi zake ndio vitu wanavyoweza jitapa navyo lakini sio tangible investments.
Maana MoU zenyewe zikifika serikalini wataalamu wakianza kuzikagua wanakuta madudu matupu, tukilazimisha investment zenyewe zinaishia kuwa mambo ya Symbion.
Profesa Lipumbafu ndiyo la hovyo kabisa kuwahi kutokea katika uso JMT.Nilishaamua kuwapuuzia maprofesa wa hii nchi yetu. Ni wapuuzi tu kama wapuuzi wengine!