Age?Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Endelea kusoma lkn usisahau taifa halihitaji wenye madigrii na maakili mengiMkuu mm napenda kusoma kuliko kuliko chochote peharps ntazifikisha.....
Hapa zipo mbili mpaka Sasa....
Wasomi hawahitajiki Tanzania...So sad!Yaan Madigirii yote hayo bado alikuwa AFISA MKUU DARAJA LA 1? Hata Umeneja au Ukurugenzi alikuwa hana.. aisee MAISHA haya.
Umeniwahi aise!Endelea kusoma lkn usisahau taifa halihitaji wenye madigrii na maakili mengi
Kweli mzee wangu alitaka uspika wa bunge da...[emoji29][emoji120]Multisectoral
Kusoma ni hobbies mm nimewai kufanya assignment nyingi sana za watu na field report writing nyingi sana pia research za watu wengi sana Mimi ni mtu napenda sana kusoma soma hapa nataka mwakani nitafute evening program ya postgraduate study Ili nifanye diversityUnataka kuwa kama thermometer sio 😁
Sawa ngoja kwanza nimalize kuwafukuza wamaasai huku ngorongoro.Karibu kuna mapori mengine hayana watu
Mkuu sisi tunasoma kuelimika na kuyatawala mazingira yetu so knowledge & Wisdom guide Education sio kwenda kugombea kazi hapana tulishatoka huko mkuu....Endelea kusoma lkn usisahau taifa halihitaji wenye madigrii na maakili mengi
Tax consultantYaan Madigirii yote hayo bado alikuwa AFISA MKUU DARAJA LA 1? Hata Umeneja au Ukurugenzi alikuwa hana.. aisee MAISHA haya.
Tia Nia mkuu inawezekanaMkuu mm napenda kusoma kuliko kuliko chochote peharps ntazifikisha.....
Hapa zipo mbili mpaka Sasa....
Mie kwakweli elimu haijanipenda 🤣🤣 hatujapendana yaniKusoma ni hobbies mm nimewai kufanya assignment nyingi sana za watu na field report writing nyingi sana pia research za watu wengi sana Mimi ni mtu napenda sana kusoma soma hapa nataka mwakani nitafute evening program ya postgraduate study Ili nifanye diversity
Kwa hii miaka mitano nimekua mbele ya computer 24/7 na sku attending phone calls nyingi sanaa last months nimeanza ona macho yanaanza kunisumbua sana hasa jicho la kulia linauma pia currently kutokana na kua busy sanaa Kila siku kwenye ma computer nimeanza kuona nimepungukiwa uwezo wangu kiakili kama zamani & Naona Ile smartness yangu ya zamani inapungua...
MWENYEZ MUNGU ATUSAIDIE SANAA
Mkuu sema haya mambo yanaenda ki ukoo yaan.....Mie kwakweli elimu haijanipenda 🤣🤣 hatujapendana yani
Tuko pamoja,Ingawa kwa mazingira ya Tanzania utachekwa sana. Nimrefikisha ya tatu mwakani naanza ya nne.Mkuu mm napenda kusoma kuliko kuliko chochote peharps ntazifikisha.....
Hapa zipo mbili mpaka Sasa....
HUWEZI ELEWA. ..,Kama ni mvivu wa kusoma huwezi elewa hata kidogo. Najua utauliza lengo ni lipi?Digrii Saba zote za Nini?
Asa unakomaa na hayo makaz ya nn , watu wanamake laki Kwa saa tuu only smartphoneKusoma ni hobbies mm nimewai kufanya assignment nyingi sana za watu na field report writing nyingi sana pia research za watu wengi sana Mimi ni mtu napenda sana kusoma soma hapa nataka mwakani nitafute evening program ya postgraduate study Ili nifanye diversity
Kwa hii miaka mitano nimekua mbele ya computer 24/7 naku attending phone calls nyingi sanaa last months nimeanza ona macho yanaanza kunisumbua sana hasa jicho la kulia linauma pia currently kutokana na kua busy sanaa Kila siku kwenye ma computer nimeanza kuona nimepungukiwa uwezo wangu kiakili kama zamani & Naona Ile smartness yangu ya zamani inapungua...
MWENYEZ MUNGU ATUSAIDIE SANAA
Ila mkuu currently watu wana umwa vifua na mafua makali sanaa....Kuanzia tarehe 28 Agosti 2023 mpaka leo 19 Septemba 2023 yaani chini ya siku 25 maprofesa tuliopoteza ni watatu.
1. Handley Mwafwenga
2. Philemon Mushi (aliwahi kuhudumu School of Education UDSM)
3. David Massamba (amewahi kuwa director of IKS)
Huyo namba 2 na 3 walifariki siku moja tarehe 28 Agosti, 2023.
Inasikitisha sana.
Kila kitu na malengo .Ukimuona mtu anafanya hivyo ujue ana malengo ambayo kwango utaona ni utahiraUmeniwahi aise!
Sawa mkuu hivi vitu huchochewa toka ndani mwingine hawezi kuelewaaa..Tuko pamoja,Ingawa kwa mazingira ya Tanzania utachekwa sana. Nimrefikisha ya tatu mwakani naanza ya nne.
HUWEZI ELEWA. ..,Kama ni mvivu wa kusoma huwezi elewa hata kidogo. Najua utauliza lengo ni lipi?